Kuna faida na hasara gani kuwa na rais mtendaji ambaye ni mwenyekiti wa chama tawala?

Gosbertgoodluck

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,855
401
Wazee wataalam wanaJF,
Tafadhali mtujuze, hivi kuna hasara na faida gani kuwa na rais wa nchi mtendaji (executive president) ambaye vilevile ni mwenyekiti wa chama chake tawala, kama alivyo hapa Tanzania? Kama hasara ni nyingi kuliko faida (kama zipo), je, upo uwezekano wa katiba mpya kushughulikia suala hili?
 
Back
Top Bottom