Kuna double standard kwenye 'Utumbuaji Majipu?'

Utawala Wa Visasi

Of the people, hata wewe una comment hivi! basi TZ hakuna wapinzani, kuna waigizaji tu. Lakini sishangai, maana na wewe ulishatuhumiwa kutembea na sumu mfukoni kwa ajili ya kuwadhuru wanampinga Mbowe, lakini hukukamatwa.
 
Yeye mwenyewe ndiye alijipa kazi ya kutumbua majipu, kazi ya sisi wengine ni kumuonesha hayo majipu na kumkosoa kama staili anayotumia itasababisha hilo jipu kurudia tena, au pia kumshutumu kama atajifanya kuruka majipu mengine!
 
Ukikuta ufisadi au rushwa unakuta dagaa tu wale papa hawaonekani kwanini?
 
Of the people, hata wewe una comment hivi! basi TZ hakuna wapinzani, kuna waigizaji tu. Lakini sishangai, maana na wewe ulishatuhumiwa kutembea na sumu mfukoni kwa ajili ya kuwadhuru wanampinga Mbowe, lakini hukukamatwa.
hoji kwa nini anasema hivo,hayo yapo
 
umeshatumbuliwa wewe.

 
Hoja lege lege.. Huna mifano.. Tuambie ni nani na kwa sababu zipi anaoaswa kutumbuliwa
 
Tetesi: - Trend Reading: Mabadiliko Madogo ya Baraza la Mawaziri Yananukia!. Head-hunting Imeishaanza!.
Magufuli kiboko!.
Any way, Kabudi ni jembe, na Mwakyembe ni mwanahabari.
Jina la Nape limeandikwa kwenye kitabu cha majina ya mashujaa wa taifa hili, na uwaziri sio kitu mbele ya karma!.
Paskali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…