Kuna dosari kwenye Kitengo cha kampeni UKAWA

Wana jf,
Ni ukweli usiopingika kwamba tangu kuanza kwa kampeni za uchaguzi mkuu, tumeshuhudia ukimya mkubwa katika kambi ya Ukawa kwenye kitengo cha uhamasishaji na matangazo.

Tofauti na wenzetu wa ccm ambao wameweka matangazo na amshaamsha kila pembe kama tv, radio, magazeti mitandaoni na kila sehemu ambapo wanahisi ujumbe utawafikia watu wengi kwa muda mfupi(haswa vijana).

Kinachonishangaza zaidi ni ukimya na kupooza huku ambako kumeingia hadi hapa ukumbini.
Sioni tena zile pilika tulizozizoea za akina Molemo na Tumaini Makene.

Swali langu kwenu viongozi wa ukawa, Mnafikiri bidhaa itanunulika vizuri bila matangazo?? Nb. Pamoja na uzuri wa bidhaa za Samsung, wanongoza pia kwa kuzitangaza. Chukueni hatua haraka!!

amen hakika unajua ila watanzania walipofikia hata bila ya matangazo mengi mambo yataenf sawa
 
Last edited by a moderator:

Unaweza ukawa uko sahihi lakini ujue hata kwenye vita huwa hawapigani kimya kimya. Mayowe ni silaha muhimu sana ya kumtia adui hofu.
 
Asante ngorude kwa kuliona hilo. Mimi nilishaweka bandiko hapa muda mrefu sana kuhusu kittlengo cha habari chadema au Ukawa kulala fofofo. Wenzao wa ccm wana kitengo Masaki. Ni Bahati kuwa Lowassa ni chaguo la Watanzania. Ingekuwa Magufuli ndiye mgombea wa Ukawa angeanguka vibaya maana pamoja na promo zote hauziki. Njooni JF wekeni watu maalum kuweka updates n.k. kina Zogwale hatuna muda wa kuweka uzi humu.
 
Last edited by a moderator:
Wana jf,
Ni ukweli usiopingika kwamba tangu kuanza kwa kampeni za uchaguzi mkuu, tumeshuhudia ukimya mkubwa katika kambi ya Ukawa kwenye kitengo cha uhamasishaji na matangazo.

Tofauti na wenzetu wa ccm ambao wameweka matangazo na amshaamsha kila pembe kama tv, radio, magazeti mitandaoni na kila sehemu ambapo wanahisi ujumbe utawafikia watu wengi kwa muda mfupi(haswa vijana).

Kinachonishangaza zaidi ni ukimya na kupooza huku ambako kumeingia hadi hapa ukumbini.
Sioni tena zile pilika tulizozizoea za akina Molemo na Tumaini Makene.

Swali langu kwenu viongozi wa ukawa, Mnafikiri bidhaa itanunulika vizuri bila matangazo?? Nb. Pamoja na uzuri wa bidhaa za Samsung, wanongoza pia kwa kuzitangaza. Chukueni hatua haraka!!

Wakati jamaa wanatembea kilomita nyingi chini ya aridhi nakufanya mikutano mingi ktk siku sisi tunaumiza kichwa mafuta ya ndege mikutano miwili kwa siku mwisho wa siku kilio. Mwaka huu tunalo mgombea wetu anatugarimu sana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom