CCM wameteka mabango yote ya matangazo mijini. Ukienda unaambiwa already booked! Ila UKAWA na LOWASSA wamekaa ndani ya mioyo ya watanzania, hata bila kampeni kali tunawakabidhi nchi Tar 25.10.2015.
CCM wameteka mabango yote ya matangazo mijini. Ukienda unaambiwa already booked! Ila UKAWA na LOWASSA wamekaa ndani ya mioyo ya watanzania, hata bila kampeni kali tunawakabidhi nchi Tar 25.10.2015.
bidhaa imevundaccm wameteka mabango yote ya matangazo mijini. Ukienda unaambiwa already booked! Ila ukawa na lowassa wamekaa ndani ya mioyo ya watanzania, hata bila kampeni kali tunawakabidhi nchi tar 25.10.2015.
bidhaa imevunda
Wana jf,
Ni ukweli usiopingika kwamba tangu kuanza kwa kampeni za uchaguzi mkuu, tumeshuhudia ukimya mkubwa katika kambi ya Ukawa kwenye kitengo cha uhamasishaji na matangazo.
Tofauti na wenzetu wa ccm ambao wameweka matangazo na amshaamsha kila pembe kama tv, radio, magazeti mitandaoni na kila sehemu ambapo wanahisi ujumbe utawafikia watu wengi kwa muda mfupi(haswa vijana).
Kinachonishangaza zaidi ni ukimya na kupooza huku ambako kumeingia hadi hapa ukumbini.
Sioni tena zile pilika tulizozizoea za akina Molemo na Tumaini Makene.
Swali langu kwenu viongozi wa ukawa, Mnafikiri bidhaa itanunulika vizuri bila matangazo?? Nb. Pamoja na uzuri wa bidhaa za Samsung, wanongoza pia kwa kuzitangaza. Chukueni hatua haraka!!
Wazee wa propaganda wa UKAWA amkeni amkeni!!
Kama mko kimkakati zaidi ni vyema tunawasubiri, ila chelewa chelewa yenu hii..sijui!? Manaweza achia mwanya watu wakalishwa haramu mkija mnakuta wameshashiba ujinga.
Teh teh teh , mnataka kuleta propaganda Hopi sasa? kwamba babu siyo mgonjwa ama CCM wanataka kuwaibia kura, ama kwamba Ukawa hakuna migogoro? propaganda ni uongo, sasa mnataka kutwambia uongo gani tena? kwamba jamaa hakujinyea?
Eti kina tambwe hiza ndio tegemeo la kukitangaza chama leo! Subirini majibu Novemba.Siasa maana yake ni "SII HASA". Hivyo propaganda ndio nyumbani kwake.
Hivi hii habari ya Msukuma imeshakanushwa na ukawa?!.Teh teh teh , mnataka kuleta propaganda Hopi sasa? kwamba babu siyo mgonjwa ama CCM wanataka kuwaibia kura, ama kwamba Ukawa hakuna migogoro? propaganda ni uongo, sasa mnataka kutwambia uongo gani tena? kwamba jamaa hakujinyea?
Jamaa kaja na team yake!
Hii ni kama Mgeni kaja na analala chumbani na mama, na baba mwenye nyumba unasubiri sebuleni kumpisha mgeni!
Ni ngumu kuielewa hii move!
Hivi hii habari ya Msukuma imeshakanushwa na ukawa?!.
ukumbi huu umepoteza baadhi ya sifa... according to some observersWana jf,
Ni ukweli usiopingika kwamba tangu kuanza kwa kampeni za uchaguzi mkuu, tumeshuhudia ukimya mkubwa katika kambi ya Ukawa kwenye kitengo cha uhamasishaji na matangazo.
Tofauti na wenzetu wa ccm ambao wameweka matangazo na amshaamsha kila pembe kama tv, radio, magazeti mitandaoni na kila sehemu ambapo wanahisi ujumbe utawafikia watu wengi kwa muda mfupi(haswa vijana).
Kinachonishangaza zaidi ni ukimya na kupooza huku ambako kumeingia hadi hapa ukumbini.
Sioni tena zile pilika tulizozizoea za akina Molemo na Tumaini Makene.
Swali langu kwenu viongozi wa ukawa, Mnafikiri bidhaa itanunulika vizuri bila matangazo?? Nb. Pamoja na uzuri wa bidhaa za Samsung, wanongoza pia kwa kuzitangaza. Chukueni hatua haraka!!
Mussa Allan leo wamejaa JF na maneno yao mbofumbofu #KataaCCM2thOctober2015