Wana jf,
Ni ukweli usiopingika kwamba tangu kuanza kwa kampeni za uchaguzi mkuu, tumeshuhudia ukimya mkubwa katika kambi ya Ukawa kwenye kitengo cha uhamasishaji na matangazo.
Tofauti na wenzetu wa ccm ambao wameweka matangazo na amshaamsha kila pembe kama tv, radio, magazeti mitandaoni na kila sehemu ambapo wanahisi ujumbe utawafikia watu wengi kwa muda mfupi(haswa vijana).
Kinachonishangaza zaidi ni ukimya na kupooza huku ambako kumeingia hadi hapa ukumbini.
Sioni tena zile pilika tulizozizoea za akina Molemo na Tumaini Makene.
Swali langu kwenu viongozi wa ukawa, Mnafikiri bidhaa itanunulika vizuri bila matangazo?? Nb. Pamoja na uzuri wa bidhaa za Samsung, wanongoza pia kwa kuzitangaza. Chukueni hatua haraka!!
Kumnadi fisadi inataka moyo wa chuma
dhamira inawashitaki vijana wamejaa aibu sana,kabaki yerico na saanane ndo wanajaribu kupotezea japo nao speed imepungua sana...
Ushauri tu.
Mgombea Lowassa tayarisha kuongea na watanzania kupitia Radio zote nchini na kueleza ukawa nini itafanya kila secta...hii inaweza kurekodiwa popote na kulipiwa na ikatangazwa kuwa kila saa tatu usiku lowasaa ataongea na wananchi kuongea secta zote za uchumi na kijamii.
Anaweza kuongea mfano leo kuhusu
Afya
Elimu
Kodi
Madini
Viwanda
Ajira na uhamiaji hovyo
Bima
Fedha
Viwanda
Biashara
Viwanja vya ndege na ATC
Polisi
Jeshi letu
Ujirani
Foreign policy
Bandari zetu
Railway usafiri
Foleni
Kilimo
Ufugaji
Nyumba
Banks
Mafuta na gesi
Ujasirimali
Barabara
Wallimu
Madaktari
Njia hii itakuwa ya aina yake na kila mtu atakaa kusubiri Lowassa anatuahidi nini.
Hivi ndio proffessiinal campain inavofanywa.
Kuna watu seriuos na proffesionals wanataka kujua zaidi kuhusu mstakabali wa kazi zao na biashara zao ndani ya ukawa. Bado hamjachelewa mnaweza kuanza wiki ijayo kila siku 15 minutes lowassa on Radio...
Meneja wa campain haya ni very impontant..musiangalie mafuriko tu..wafukieni wengine wakufahamuni
#ukawa
Wana jf,
Ni ukweli usiopingika kwamba tangu kuanza kwa kampeni za uchaguzi mkuu, tumeshuhudia ukimya mkubwa katika kambi ya Ukawa kwenye kitengo cha uhamasishaji na matangazo.
Tofauti na wenzetu wa ccm ambao wameweka matangazo na amshaamsha kila pembe kama tv, radio, magazeti mitandaoni na kila sehemu ambapo wanahisi ujumbe utawafikia watu wengi kwa muda mfupi(haswa vijana).
Kinachonishangaza zaidi ni ukimya na kupooza huku ambako kumeingia hadi hapa ukumbini.
Sioni tena zile pilika tulizozizoea za akina Molemo na Tumaini Makene.
Swali langu kwenu viongozi wa ukawa, Mnafikiri bidhaa itanunulika vizuri bila matangazo?? Nb. Pamoja na uzuri wa bidhaa za Samsung, wanongoza pia kwa kuzitangaza. Chukueni hatua haraka!!
Ahsante Ukawa...kwa kufata ushauri wangu...
Kutoa mwenendo wa wa sera kupitia Radio.
Mbatia na viongozi wa ukawa wana ongea na wananchi kupitia Tv na Radio one.
Fanyeni vipindi hivi kila two days