Kuna dosari kwenye Kitengo cha kampeni UKAWA

Ngorunde

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2006
Posts
5,735
Reaction score
12,159
Wana jf,
Ni ukweli usiopingika kwamba tangu kuanza kwa kampeni za uchaguzi mkuu, tumeshuhudia ukimya mkubwa katika kambi ya Ukawa kwenye kitengo cha uhamasishaji na matangazo.

Tofauti na wenzetu wa ccm ambao wameweka matangazo na amshaamsha kila pembe kama tv, radio, magazeti mitandaoni na kila sehemu ambapo wanahisi ujumbe utawafikia watu wengi kwa muda mfupi(haswa vijana).

Kinachonishangaza zaidi ni ukimya na kupooza huku ambako kumeingia hadi hapa ukumbini.
Sioni tena zile pilika tulizozizoea za akina Molemo na Tumaini Makene.

Swali langu kwenu viongozi wa ukawa, Mnafikiri bidhaa itanunulika vizuri bila matangazo?? Nb. Pamoja na uzuri wa bidhaa za Samsung, wanongoza pia kwa kuzitangaza. Chukueni hatua haraka!!
 
Last edited by a moderator:
dhamira inawashitaki vijana wamejaa aibu sana,kabaki yerico na saanane ndo wanajaribu kupotezea japo nao speed imepungua sana...
 
Wana jf,
Ni ukweli usiopingika kwamba tangu kuanza kwa kampeni za uchaguzi mkuu, tumeshuhudia ukimya mkubwa katika kambi ya Ukawa kwenye kitengo cha uhamasishaji na matangazo.

Tofauti na wenzetu wa ccm ambao wameweka matangazo na amshaamsha kila pembe kama tv, radio, magazeti mitandaoni na kila sehemu ambapo wanahisi ujumbe utawafikia watu wengi kwa muda mfupi(haswa vijana).

Kinachonishangaza zaidi ni ukimya na kupooza huku ambako kumeingia hadi hapa ukumbini.
Sioni tena zile pilika tulizozizoea za akina Molemo na Tumaini Makene.

Swali langu kwenu viongozi wa ukawa, Mnafikiri bidhaa itanunulika vizuri bila matangazo?? Nb. Pamoja na uzuri wa bidhaa za Samsung, wanongoza pia kwa kuzitangaza. Chukueni hatua haraka!!
Mkuu kuna fitina zinafanyika ni kuwa wewe hujui. Ila jitihada kubwa sana zinatumika kuwahujumu ukawa
 
Ni kweli UKAWA tuliangalie hili kwa umakini mkubwa. Jitahidini kuwepo hata tv 1 ya kurusha kampeni za wagombea wenu live. Nimeona ccm wanaitumia vzr nafasi kupitia star tv. Yaani wanaipoteza UKAWA kwa njia nyepesi sana. Kuona ni kuamini...fanyeni juu chini muwe live vinginevyo ushindi mtausoma tu.
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli, juzi nilimuona na babu duni airport wakitoka segerea mkutanoni wakielekea zanzibar, nikaona tumaini makene kumbe yupo ila labda amebadilishiwa majukumu. Kwenye habari cku hizi hayupo kabisa hata updates za mikutano ni shida
 
Babu yenu kabaki kama yeye ns wahuni wachache wanaomlia vijipesa vyake vya mwisho ..Ukawa iliishia 2014 haya ya sahivi ni maigizo ya Mr Ben
 
Jamaa kaja na team yake!
Hii ni kama Mgeni kaja na analala chumbani na mama, na baba mwenye nyumba unasubiri sebuleni kumpisha mgeni!
Ni ngumu kuielewa hii move!
 
Wana jf,
Ni ukweli usiopingika kwamba tangu kuanza kwa kampeni za uchaguzi mkuu, tumeshuhudia ukimya mkubwa katika kambi ya Ukawa kwenye kitengo cha uhamasishaji na matangazo.

Tofauti na wenzetu wa ccm ambao wameweka matangazo na amshaamsha kila pembe kama tv, radio, magazeti mitandaoni na kila sehemu ambapo wanahisi ujumbe utawafikia watu wengi kwa muda mfupi(haswa vijana).

Kinachonishangaza zaidi ni ukimya na kupooza huku ambako kumeingia hadi hapa ukumbini.
Sioni tena zile pilika tulizozizoea za akina Molemo na Tumaini Makene.

Swali langu kwenu viongozi wa ukawa, Mnafikiri bidhaa itanunulika vizuri bila matangazo?? Nb. Pamoja na uzuri wa bidhaa za Samsung, wanongoza pia kwa kuzitangaza. Chukueni hatua haraka!!

wapelekee ushauri wako magamba!
 
CCM wameteka mabango yote ya matangazo mijini. Ukienda unaambiwa already booked! Ila UKAWA na LOWASSA wamekaa ndani ya mioyo ya watanzania, hata bila kampeni kali tunawakabidhi nchi Tar 25.10.2015.

Ni kweli mkuu, ila ujue sio wote wenye uelewa kama wewe. Wako wengi sana wanaohitaji kuhamasishwa ndio wachukue maamuzi.
 
Sipati picha km ukawa wangekuwa na channel ya kurusha matangazo live hali ingezidi kuwa mbaya kwa ccm
 
Nimekuta moja pale magomeni hospital limechanwa, jangwani walichana, kariakoo wakalitoa
 
CCM wameteka mabango yote ya matangazo mijini. Ukienda unaambiwa already booked! Ila UKAWA na LOWASSA wamekaa ndani ya mioyo ya watanzania, hata bila kampeni kali tunawakabidhi nchi Tar 25.10.2015.

Jipe moyo na roho
 
Babu yenu kabaki kama yeye ns wahuni wachache wanaomlia vijipesa vyake vya mwisho ..Ukawa iliishia 2014 haya ya sahivi ni maigizo ya Mr Ben

Maigizo yapo huko huko kwenu mnaonunua watu, yangekuwa maigizo mngehangaika kuwanunua Lipumba na slaa? Membe anakaribia kumaliza yale mabilion ya marehemu Gadafi sasa sijui mtawanunulia nini Watu,
 
Mkuu kuna fitina zinafanyika ni kuwa wewe hujui. Ila jitihada kubwa sana zinatumika kuwahujumu ukawa

Membe yupo busy mda wote sasa kaja na ushirikina katumia mapesa ya Gadafi kuwahujumu ukawa kaona hawatetereki sasa kaja na mbinu ya kuwahujumu kwa njia za mguvu za giza.
 
Back
Top Bottom