mshika boom
New Member
- Oct 12, 2015
- 3
- 1
Hivi karibuni kumekuwa Na Ziara nyingi sana za kushtukiza kwa viongozi wetu walio wakubwa na wale wa Dogo kabisa kimadaraka katika secta zao husika ,,,Je Ziara hizo zina dhamira ya dhati katika kuleta Mabadiliko chanya ya kimaendeleo au ni kujaribu kuendana Na kasi ya Mr president ili kulinda ugali waoo?