Na vipi kuhusu miconazole haitofua dafu mkuuNunua dawainaitwa grisuflavin, asufluvin and the like, pia nunua whitefield upake kwa muda wa miezi 3, vidonge kunywa kimoja kila siku kwa siku 14
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu! Huu ugonjwa ulkuwa kwenye kiungo gani Kwa huyo manzi!?[emoji16]Kuna demu flani hivi kaniambukiza huu ugonjwa wa pumbu illusion ni kama fungus flani hivi wanakaa kwenye pumbu ukijikuna unatoka weupe weupe kama unga alafu inawasha hatari muda wote ni Kru kru kru kru,
Hivi dawa yake nini hiyo wakuu?
Note:
Dawa ikataze vyote kama kunywa pombe na N.K lakini isiwe na katazo la kutokutumia Papuchi wakati wa dozi.
CC Zero IQ
[emoji23][emoji23]
Kuna demu flani hivi kaniambukiza huu ugonjwa wa pumbu illusion ni kama fungus flani hivi wanakaa kwenye pumbu ukijikuna unatoka weupe weupe kama unga alafu inawasha hatari muda wote ni Kru kru kru kru,
Hivi dawa yake nini hiyo wakuu?
Note:
Dawa ikataze vyote kama kunywa pombe na N.K lakini isiwe na katazo la kutokutumia Papuchi wakati wa dozi.
CC Zero IQ
Naoga mara 2 kwa siku Asubuhi na usiku kabla ya kulala, nabadili boxer mara moja kwa siku Asubuhi nikitoka kuoga navaa jioni nikienda kuoga navua navaa bukta mpak Asubuhi niambie sababu nyingine mkuuMkuu kama nakumbuka vizuri hiyo kitu ni pumb* jero, husababishwa fungus, yani kutokuoga au unaoga lakini hujisugui vizuri hilo eneo.. Niliumwa nilivyokua mdogo, nilikua nakaa hata siku 3 bila kuoga.. Aisee niliisoma namba.
Nilitumia dawa ya kupaka inaitwa Daktacort kama skosei (naikumbuka dawa mpaka leo cause niliwashwa sana aisee [emoji3][emoji3][emoji3])
silent_ocean
Naoga mara 2 kwa siku Asubuhi na usiku kabla ya kulala, nabadili boxer mara moja kwa siku Asubuhi nikitoka kuoga navaa jioni nikienda kuoga navua navaa bukta mpak Asubuhi niambie sababu nyingine mkuu
CC Zero IQ
Umepima kaswende na kisonono?Hiyo ni Pumbu illusion na sio kaswende wala kisonono mkuu
CC Zero IQ