Natafuta chuo umeme

maelekezo

Member
Aug 21, 2023
15
5
Nimemaliza form 4 nimepata dvs 4 ya 30 nna falled mathematics na English .swali naweza soma electrical installation chuo chochote dar es salaam naomba msaada wakubwa kwa
 
Ndiyo, Unaweza kusoma hiyo fani ya Umeme iwapo Utapitia VETA.

Muhimu angalia Vyuo vya Ufundi kwenye eneo ulipo then utume maombi ya kujiunga.

Kama nafasi itakuwa Finyu hapo DSM, Nenda hata Vyuo vya Veta vya Mikoani ili utimizie ndoto yako.

Hongera umechagua Fani nzuri ya kusomea, huku nilipo Kumpata Fundi kwaajili ya Wiringi ya Nyumba imekuwa kazi kidogo hasa kwa Nyumba ambazo zima Ramani, Mafundi wengi hawana Ujuzi wa kusoma ramani na ku-Implement.
 
Asante sana mkubwa nikipitia veta naweza nikawa mpka na degree ya umeme mkubwa
 
Mwisho wa kujiunga na veta ni lini kwa tunaotak kujiunga wakubwa kwa anae faham anijuze wakubwa
 
Asante sana mkubwa nikipitia veta naweza nikawa mpka na degree ya umeme mkubwa
Uko sahihi, utaweza kusoma hadi kufikia level ya NTA level 8 ambayo equivalent na Bachelor Degree

Kila la kheri Mkuu 👏👏
 
Asante sana mkubwa na maombi ya kujiunga kwa long course wanaotak kusoma mwakani yanaanza ln na mwisho lini mkubwa msaada na chuo Gani kwa iyo kozi
 
Nenda veta iliyo karibu na wewe kachukue form zilisha toka kitambo.Mitihani ya kujiunga na intake ya January itafanyika mwezi wa kumi mwaka huu.Nakushauri chukua long course ya miaka mitatu na baada ya hapo unaweza kuendelea ngazi ya diploma na baadae bachelor degree...!Kila lakheli...!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom