Kuna choo za kisasa kuzidi hii

Aisee umenikumbusha South kuna bar moja ipo kwenye mti hivi hivi! Basi nilikua nimemiss Guiness zangu Siku moja halafu niko field so nikaenda kuzichapa ndani ya mbuyu! Hahaaa
 
dunia hii ina fashion zake lakini mwisho wake sipati picha.
 
The Boss ninakuheshimu sana mkuu wangu ila ulichokifanya hapa siyo mwake kabisa. Umechakachua thread ya mwenzio.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Dah . . . Sumu umenichekesha kweli ulivyolalamika! lol

BTW, watu wabunifu aisee
Alafu hiyo ndo utilization of resources yenyewe sasa!
 
Last edited by a moderator:
The Boss ninakuheshimu sana mkuu wangu ila ulichokifanya hapa siyo mwake kabisa. Umechakachua thread ya mwenzio.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

acha mwenzio ajiexpress bwana, wivu wa nini sasa? Hujui huyu ndo The Boss, mutu ya watu, muzeiya ya mujini?
🙂🙂

hiyo choo kiboko, sie waoga wa mijusi ukute kuna yale.mamijusi ya bluu, mbona hapaingiliki!
 
Last edited by a moderator:
Hukawii uko katikati ya starehe akaibuka nyoka humo
 
Hukawii uko katikati ya starehe akaibuka nyoka humo
Hasa ikukute una tumbo la kuharisha halafu linakata unashusha mzigo ghafla joka hili hapa,mwee ngasyagania Kyala abatulege.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…