Kuna basi la moja kwa moja kutoka Mwanza hadi Ifakara?

Hakuna basi la moja kwa moja. Labda mpaka pale lami ya kutoka Kidatu mpaka Ifakara, itakapokamilika kwa 100%. Kwa sasa apande basi mpaka Morogoro, halafu akifika Morogoro apande basi la Kidinilo.
Ok! Kutoka Morogoro mjini hadi Ifakara nauli ni shilingi ngapi?
 
Hakuna basi la moja kwa moja kwenda Ifakara kutokea Mwanza.

Ila imeshauriwa upande basi hadi Morogoro Mjini pale Msamvu then utapanda mabasi ya Morogoro kwenda Ifakara.

Hopefully itakuwa ni safari ya siku 2

Muhimu apande mabasi ya Ifakara moja kwa moja kutokea Msamvu lakini sio ya nusunusu hadi Kilombero, atajikuta analazimika kulala njiani maana yale yanaenda mdogo mdogo kukusanya abiria wa njiani
 
Hawez kuwa safar ya siku mbili anatakiwa apande bas ambalo linaanza safar saa kumi na mbili au saa mbili usiku toka mwanza hivyo atafika msamvu muda mzuri wa mchana na ataoata gari la kwenda Ifakara
 
Back
Top Bottom