Yani na natamani limpate haswaaa.Kwa sasa mitambo ipo poa, wanaume wengine wanatushusha sana vyeo sie wanaume ambao hatuna longolongo.
Na kufuatacho hapo huyo jamaa litampata tena la kumpata jela sio miaka 8tena ni miaka 30
Sawa akishapata nafuu nitamwambia ivyoPole yake sana huyo mwanamke.inawezekana kuna pepo linalowasumbua .funga na maombi ya dhati.Mungu atampa mwanga.Amuangalie Ayubu
Muone vileSioni tatizo hapo zaidi ya mwanamke kusumbua sumbua tu.
Hahaaa... ngoja na mm nifanye kama huyo kijana, ila sitaki kwenda jela nataka niende selo.Muone vile
Wewe mtoto unadhani uchawi ni rahisi hivyo?? Usirahisishe mambo hivyo.Nikitoka hospital namroga wazimu Huyo mwanaume atatembea uchi pumbavu spendagi ujinga
Sio wote humu ni watoto kama ulivyo wew so tusichukuliane poaWewe mtoto unadhani uchawi ni rahisi hivyo?? Usirahisishe mambo hivyo.
Bado hujamaliza kazi tu..Mtanihadisia jamani baadae mana uzi umekua mrefu kidogo na mimi nina kazi
Tayari na nilishausomaBado hujamaliza kazi tu..
OKTayari na nilishausoma
Poa mkuu
Poa mkuu