Kuna baadhi ya wanaume Mungu anawaona

Kuna baadhi ya wanaume Mungu anawaona

  • Thread starter Thread starter Deleted member 485868
  • Start date Start date
RADHI ZA WAZEEE, UNAAMBIWA MZEE USITHUBUTU KUMJIBU ATA NENO aaaaaaahhh, any way ALLAH AMFANYIE WEPESI, hakuna BINAADAMU mkamilifu, kuna time ktk maisha yakikufika duhhhh... Mungu msaidie umfanyie WEPESI
 
Maisha ni safari tena ndefu... Mungu atampa hata kile ambacho hajanyang'anywa.
Aombe Mola ampe afya na anaonekana elimu ndogo aliyonayo ni mtaji sana kwake kuliko mme wake mwenye degree ya ulimbukeni.
Dada mwenyeji wake usichoke kumpa sapot mwenzio na mshauri aanze maisha yake na asije kumkaribisha tena mwenye degree ya dhuruma.

Pole kwake.
Ahsante..na ndicho ninachokifanya
 
Kauli yako ya mwisho hajakaaa sawa kabsa labda ulkuwa hujui tu wewe binadam akiamua kuuweka utu pembeni iwe Wa kiume au Wa kike dunia utaiona chungu kwa hyo hapo kila mwanadam na yake Leo ukiambiwa timbwili alilofanyiwa mwanaume na make flan mbona utasanda mwnyw
Sawa mkuu nimekuelewa
 
Pole yake mdada,mshauri akitoka hospital aanze maisha upya afanye vibiashara vyake na ,amtumainie Mungu atafanikiwa tu.wanaume wa hivyo wengi wao hawafiki mbali kimafanikio na chozi la mnyonge siku zote haliendi bure.!
Ahsante kwa ushauri..barikiwa sana
 
Back
Top Bottom