Kuna baadhi ya wanaume Mungu anawaona

Kuna baadhi ya wanaume Mungu anawaona

  • Thread starter Thread starter Deleted member 485868
  • Start date Start date
Ndo wanawake muache kujipendekeza kwa watu wasiowapenda. Alishaona kabisa hapendwi wala hathaminiwi yeye kajipeleka hivo hivo na kubadili dini Juu. Muwe mnasikiliza wazazi maana Hao ndio pepo yenu... By the way mpe pole sana ndo dunia. You get what you want and you don't get what you deserve
Walikua wanapendana bana..mwanaume alibadilika baadae..sawa nimenote pole yako nitamfikishia
 
Dah so sad jaman Mungu atuepushe na maibirisi yaliyo vaa miili ya. Binadamu....lkn back to the topic mapenzi upofu jaman ukute uyo dada atamsamehe ibirisi wake uyo ...
Sidhani maana kayachukia mapenzi balaa..
 
RADHI ZA WAZEEE, UNAAMBIWA MZEE USITHUBUTU KUMJIBU ATA NENO aaaaaaahhh, any way ALLAH AMFANYIE WEPESI, hakuna BINAADAMU mkamilifu, kuna time ktk maisha yakikufika duhhhh... Mungu msaidie umfanyie WEPESI
Amiin..na Naamini atamfanyia wepesi..mapenzi upofu
 
Kuna mijanamke ikiamua kupenda inakuwa km mizuzu mm simuonei huruma hata kdg ndio akome mwenye akili haumwi mara mbili kwenye shimo moja mwanaume empty kabisa anamng'ang'ania wa nn?
 
Pole yake sana huyo mwanamke.inawezekana kuna pepo linalowasumbua .funga na maombi ya dhati.Mungu atampa mwanga.Amuangalie Ayubu
 
Back
Top Bottom