BinSalum7
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 1,678
- 3,732
Hiyo laki 3 ya kununua c9 clean bora niache tuuu nijipange na diet yang kama kawaida mkuu hilo jambo zito kwa uchumi huu
Mie nliamua tu ninunue maana mazoez uvivu na diet siwezi
Hiyo laki 3 ya kununua c9 clean bora niache tuuu nijipange na diet yang kama kawaida mkuu hilo jambo zito kwa uchumi huu
-1.Mwili wa binadamu unataka balance dietHello wadau... Je ni kweli kwa kushindia kula matunda na maji bila kula chakula chochote, kwa mwezi mzima kunaweza kushusha uzito na kupungua unene? Na je kutakua na madhara gani labda yanayoweza kujitokeza kwa kufanya hivi? Itakua vema kwa watalaam wakitujuza hili tusiojua.
Bro issue siyo chakula ni KIASI!!!!!!Nimejarib kufikilia kufanya hili yaan kuacha kula msosi kabisa kwa mwez mzima yaan hata ikitokea bas ni maziwa fresh tu au supu ya samaki mara moja moja sana je bado kutakua na madhara km usemayo kwani? Maana uzito wangu ni mkubwa sana mkuu.... sasa nataka nianze huu mfumo nione km tapungua au lah? Ila madhara ya moja kwa moja je hayatakuepo hapo
Usiku wanakula Kama wengine wanavyokula mchana, Ni mabadiliko ya ratiba tuHakuna shida yoyote, mbona mwezi wa Ramadhani watu wanafunga mwez na wapo fresh tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Usitoleee mfano mwezi mfukuto wa ramadhani aisee watu wanakula Sana halafu mchana wanazuga zuga kulala tuu misikitini. Usiku wanafukia kunakotukuka misosi ya Bure Bure wasoifanyia kazi!
Unaonaga kiasi cha ftari na daku wanayokula?.baadhi yao,ni kama vile wamebadili tu masaa ya kula mchana kwenda usikuHakuna shida yoyote, mbona mwezi wa Ramadhani watu wanafunga mwez na wapo fresh tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unauzito kg ngapi?Duh aseee umenifanya niogope km ni hatari zaid bas itabid nifanye mbinu mbadala tuu mkuu nisije pepesuka km huyoo 🧐
Elewa hivyo hivyo mkuuUnamaanisha nini mkuu
ulifanikiwa kukata weight kg ngapi?
Mie nliamua tu ninunue maana mazoez uvivu na diet siwezi
Usipokula wanga na protini mwili utakosa nguvu na kudhoofu misuli
Kula aina za vyakula ila kiasi kidogo
Mfano asbh....warm water mix na asali ikupe nguvu...endelea kunywa maji
Sa 4/5 kula matunda
Mchana lunch...ugali samaki mboga au mchemsho mradi iwe balanced diet..punguza wali na vya kukaanga
Sa 11 mtindi au nuts
Usiku matunda na maji
Lazma upungue
Ule mziki wa kufuturu usiku kucha si mchezo.Hakuna shida yoyote, mbona mwezi wa Ramadhani watu wanafunga mwez na wapo fresh tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee baba huu ni uongo wa jua jeupe.... kilo 62 kwa futi 6.5 ni uongo mkubwa utakua kama chelewa... wewe una utapiamlo unless hujui maana ya futi.... una urefu karibu na Hashimu uwe na kilo 62😂.... We una utapiamlofuti 6.5 uref,kilo 62 boss mara ya mwisho kupima ni last two months
Sent using Jamii Forums mobile app
we ndo unazingua boss nina lbs 148.0 hizo ki kg ngapi?? hiyo 62 kg ni mara ya mwisho kupima umetumia vigezo gani kunipinga, kwa kutumia BMI nipo rightMzee baba huu ni uongo wa jua jeupe.... kilo 62 kwa futi 6.5 ni uongo mkubwa utakua kama chelewa... wewe una utapiamlo unless hujui maana ya futi.... una urefu karibu na Hashimu uwe na kilo 62.... We una utapiamlo
Unawaonaga muda wa kufuturu na kula daku wanavyosokomeza Misosi?Hakuna shida yoyote, mbona mwezi wa Ramadhani watu wanafunga mwez na wapo fresh tu
Sent using Jamii Forums mobile app
we ndo unazingua boss nina lbs 148.0 hizo ki kg ngapi?? hiyo 62 kg ni mara ya mwisho kupima umetumia vigezo gani kunipinga, kwa kutumia BMI nipo right
Sent using Jamii Forums mobile app
poa poa mkuu ngoja mwezi huu nile fats na calories sana bila kufanya mazoezi ukiisha nikapime uzitoKigezo ni hiki mkuu we ni underweight jitahidi ile utakufa
Mimi nilitumia mboga za majani, matunda na uji wa ulezi mwezi mzima...nilinyooka kama rula!...but sikuugua!Omba usiugue mkuu,Kuna Dada tulikuwa tunafanya naye mazoezi gum, alitumia matunda na mboga na maji. Alipitiwa na malaria kidogo, alishiia kulazwa kwa mikocheni hospitali,kila chakula ni muhimu maishani mwetu. Tatizo ni quantity na mda unaokitumia kama metabolism ipo juu au chini.pia miili ya watu ina respond tofauti na hizo diet
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha, wanalipiziaga lakaa zote.Unawaonaga muda wa kufuturu na kula daku wanavyosokomeza Misosi?