Kuna athari gani kwa kula matunda na maji peke yake tu kwa muda mrefu?!

Nimejarib kufikilia kufanya hili yaan kuacha kula msosi kabisa kwa mwez mzima yaan hata ikitokea bas ni maziwa fresh tu au supu ya samaki mara moja moja sana je bado kutakua na madhara km usemayo kwani? Maana uzito wangu ni mkubwa sana mkuu.... sasa nataka nianze huu mfumo nione km tapungua au lah? Ila madhara ya moja kwa moja je hayatakuepo hapo

angalia matunda ya kula wakati huu unataka kupunguza kilo mi nilikua nakula chakula kidogo mno kuliko kuacha kula mfano ukila ndizi maembe apo ujafanya kitu matunda ya kula ni water melon pineapple tango apple nk we unatakiwa kuangalia calories tu kwenye matunda ila nikushauri tu punguza chakula mfano kama wali kula lakin weka kwenye kisosi yan kidogo mno ugal tonge 5 yan uguse guse tu utapungua

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sawa mkuu nimekupata maelezo yako nitayafanyia kazi
 
Back
Top Bottom