Chrix_Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 880
- 1,098
Hello wadau... Je ni kweli kwa kushindia kula matunda na maji bila kula chakula chochote, kwa mwezi mzima kunaweza kushusha uzito na kupungua unene? Na je kutakua na madhara gani labda yanayoweza kujitokeza kwa kufanya hivi? Itakua vema kwa watalaam wakitujuza hili tusiojua.