Huyu ndo macheni mwenyewe?? Huyo kinyaiya ni shoga na kuna mwana flani maskani m'nyamala alikuwa anamkaza af anakuja kutupigia stori, mwanzon tulikuwa tunambishia tunaona km anatupanga c ndo siku akampigia simu kumuuliza amkute wapi akambandue aseeAkiwa na Ben KinyaiyaView attachment 618027wote hawa kwa nyakati tofauti walituhumiwa ushoga
BTW sikujua kuwa Macheni is no longer ⚰ Rip
kiingilio bia moja tuKwa macheni ilikuwa kiboko. Pande za mbagala kuna bar inaitwa masakuu ni shida sana
Duuu.... Kumbe zile hazikuwa tuhuma tuuHuyu ndo macheni mwenyewe?? Huyo kinyaiya ni shoga na kuna mwana flani maskani m'nyamala alikuwa anamkaza af anakuja kutupigia stori, mwanzon tulikuwa tunambishia tunaona km anatupanga c ndo siku akampigia simu kumuuliza amkute wapi akambandue asee
Nimekumbuka bandiko lako moja lisemalo wakati si mileleUwanja wa fisi manzese?
Mbagala ipi? maana mbagala kubwa kiongoziHahahah pole mkuu tatzo hukujua masakuu ndo pako hivyo njia ya kuelekea toilet kwa mbele ndo unakuta wamejazana kiasi kwmba ukitoka tu toilet watu wanajua umetoka kufanya service kumbe smtym unakuta mtu hata wazo huna,kuna pale round about ya kuelekea chamaz kuna ka bar kaliunguaga na moto panyewe ni maarufu kwa mchicha mwiba napitaga naona
Duh! Niliwahi kuona documentary moja ya "uwanja wa fisi" utatamani kutoa machozi maisha jinsi yalivyokuwa palePale ilikuwa madawa ya kulevya yanauzwa hadharan, mabanda ya picha za X, watu wanajiuza bei ya Mwisho 3000 tena Hiyo 3000 bila kinga, dk 10 sh 500. Kulikuwa na madangulo wanapanga kwa siku buku mkiwa kumi chumba kimoja mnamlipa Mwenye nyumba 10000 palikuwa uwanja wa fisi kweli saa moja hukatiz lazima ukabwe. Vibanda vya pombe ya kienyeji na kamali.
Ndio maana magomeni hata ukiotesha kitu hakiotiJamani Kwa macheni ilikuwa ni zaidi ya Sodoma na Gomorrah. Niliwahi shuhudia pale jibaba linalambwa koni na shoga yaani mchana tu kule chooni na jamaa hakuwa na wasiwasi wowote yaani kuogopa watu kwenda chooni. Ile bar ilikuwa ni ya laana tupu.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] mshana jr: huyu ben kinyaiya si wanasema, mpunga kutoka ifakara, tuache macheni huyu kashatangulia, mbele ya maulana.Akiwa na Ben KinyaiyaView attachment 618027wote hawa kwa nyakati tofauti walituhumiwa ushoga
BTW sikujua kuwa Macheni is no longer ⚰ Rip
Nimecheka mnoo!Ndio maana magomeni hata ukiotesha kitu hakioti
Niko poa vp wewe mdau?Sawa mzima??