Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,781
- 14,442
Habari wandugu!?
Binafsi nimekuwa na kawaida ya kupoteza simu mara kwa mara kutokana na mfumo mzima wa shughuli zangu na kusahau sahau ovyo.
Hivyo ningeomba kama kina mtu anafahamu apps yeyote inayoweza find my phone once lost aje atupe nondo hapa.
Simu yangu ni smartphone, android 4.2.
Shukrani!