Kuna anayepata tatizo kama langu AZAM TV??

Huntsman

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
648
Reaction score
621
Heshima mbele wakuu,

Jana nimelipia tsh 20000 Azam tv ili niweze kuona channels zote ikiwemo VIASAT NATURE/HISTORY Channel lakin cha ajabu naambiwa access denied kwa baadhi ya channel ikiwemo hii. Kuna anayeipata hii channel?
 
Mkuu hivi azam tv ata usiporenew bado wanabakiza local channels?nko Kenya na nataka ukijaribu maana dstv usenge tu
 
Heshima mbele wakuu,

Jana nimelipia tsh 20000 Azam tv ili niweze kuona channels zote ikiwemo VIASAT NATURE/HISTORY Channel lakin cha ajabu naambiwa access denied kwa baadhi ya channel ikiwemo hii. Kuna anayeipata hii channel?

Mkuu wapigie azam wenyewe watasolve tatizo lako
 
!
!
halafu azam acheni upimbi......namba yenu ya huduma kwa wateja ni ya kawaida tu kwa hiyo wateja tunatumia hela hakafu mtu akioiga mnamuweka kwenye que muda mreeeefu. Kama vipi wekeni namba za mitandao yote tuwapigie kwa kutumia vifurushi.
 
Tido atakuwa amesikia. Nina muaminia mgosi.
 
Local channelszinabaki kwa siku 21 baada ya hapo wanakata zote
 
!
!
halafu azam acheni upimbi......namba yenu ya huduma kwa wateja ni ya kawaida tu kwa hiyo wateja tunatumia hela hakafu mtu akioiga mnamuweka kwenye que muda mreeeefu. Kama vipi wekeni namba za mitandao yote tuwapigie kwa kutumia vifurushi.

Namba za Azam tv customer care ni za bure (Toll free) 0784108000 na 0764700222
 
Lakini mpaka uwapigie mbona wanapokata hawasemi wapigiwe,huu ni usumbufu halafu ndio wanataka kupambana na DSTv halafu hata ukipiga hizo simu inachukua dk 10 na kuendelea unasubiri tu,Ukituma hela ilitakiwa wanaactivate moja kwa moja mbona hela ikiingia hutuma message kuwa hela imepokelewa.
 
Ni kweli, lakini tatizo la namba za customer care kwa TZ ni kote, kuanzia mitandao ya simu mpaka hao DSTV. Hawa jamaa ndio wameanza, wameshasema kuwa kuanzia next month utakuwa unajiunga na package unayotaka moja kwa moja wakati wa kulipia. Hata Roma haikujengwa mara moja....
 
Kwa hilo hapo kwenye red sikubaliani nalokwa Azamtv,kwanza walidanganya kuhusu hizo packages,mwanzoni walisema kuanzia tarehe 1/03 kutakuwa na vifurushi vitakavyoongezwa na mtakachofanya ikifika hiyo 1/3 ni kuzima king'amuzi chake kwenye switch na uwashe tena ndio utaona hizo channel kama za Real Madrid nahawakusema kutakuwa na kuanzishwa kwa vifurushi vipya na bei mpya,walifanya kama kampuni za simu,na wameleta usumbufu kwa wale walionunua kifufurushi cha zamani halafu hizo channels wasiweke,hiyo sio fair wala ustaraabu,imewafanya Azamtv waonekane wahuni,pia mambo ya kujiactivate kwa vifurushi vyao hiyo kaka haihitaji kujipanga kwa watu wa IT nikitu rahisi sana na kwenye data zao inaonekana mara tu unapolipa,otherwise wana yao kwa kutaka huu usumbufu wa mteja awapigie simu.Idara ya CC na Marketing wanatakiwa wawe wabunifu waache kufanya kazi kwa mazoea.
 
hawa jamaa ni wangese sana yani basi tu.........mimi nilijitahidi nikaona isiwe tabu ngoja ninunue cha 20,000tsh nikatia pesa katika simu yangu nikafanya kama inavyotakiwa nikanunua na sikuona hizo channel. Siku moja napita humu nikakutana na uzi huu ukisema kuwa ukiwapigia wanaweza kurekebisha hilo swala...nikawapigia nikasubiri kama dakika kumi na tano hivi au kumi ndio jamaa akawa ananijibu kuwa eti nilitakiwa kuwapigia waniunge wao moja kwa moja haiwezekani. Nikauliza sasa 5000 yangu vipi wakadai inaonekana iko kama balance na next time niweke 10000 tu kwa kifurushi cha 15000 na 5000 tu kwa kifurushi cha 5000 tu. Wameniboaje hawa watu aisee.
 
Back
Top Bottom