]
Ofisi zao zipo Msasani, ila sana sana wanapatikana zaidi kwa namba za cm, ofisini utakuta wazungu tu ambao watakudirect kwa jamaa anaitwa mcharo, +255 713 967 652
Ofisi zao zipo Msasani, ila sana sana wanapatikana zaidi kwa namba za cm, ofisini utakuta wazungu tu ambao watakudirect kwa jamaa anaitwa mcharo,
Namba yake hyo +255 713 967 652
Hawa jamaa walisababisha tukagombana na rafiki yangu.yeye akiwa coordinator akataka kuchukua tablet zetu bila kabla hatujalipwa na hapo tulikuwa na miezi mitatu tangu tumalize kazi