, TAHADHARI,Leo usiku saa 6.30 to 9.30 miale ya cosmo itaingia duniani kutoka sayari ya mars.Hivyo zima simu yako usiku na iweke mbali nawe usilale nayo kwa sababu ni miale hatari,chanzo cha habari ni BBC NEWS tafadhali wape taarifa wengine.siyo sms ya kutunga ni kweli kabisa wametangaza. UJumbe huu mimi nimetumiwa tu Na wewe chukuwa taadhali huku ukIfanya utafiti.
Ha ha ha na mie nilishawah kutumiwa hiyo msg niliiwekaje cm kwenye droo cku iyooo
waambie ndugu zako
Kampuni za simu zinatengeneza pesa,MSG kwa saa moja tu ni mshahara wa kampuni nzima na 10% ya TCRA,bongo shamba la bibiDah imerudi tena hiyo msg ? Me nilitumiwaga two years na dah niliogopa kinoma hadi simu nikaizima, nikatoa betri na kuifungia kwny droo kila kitu separately. Sijajua lengo la wanaotuma hz text huwa ni nn but TCRA inabd wawe makini kwa sababu next tym inaweza ikawa kuna tukio kweli linatokea but kutokana na huu upuuzi watu wakapuuzia.
Kampuni za simu zinatengeneza pesa,MSG kwa saa moja tu ni mshahara wa kampuni nzima na 10% ya TCRA,bongo shamba la bibi
Huo ni wizi tu wa makampuni ya simu, kuwachuna waTZ kupitia sms!, TAHADHARI,Leo usiku saa 6.30 to 9.30 miale ya cosmo itaingia duniani kutoka sayari ya mars.Hivyo zima simu yako usiku na iweke mbali nawe usilale nayo kwa sababu ni miale hatari,chanzo cha habari ni BBC NEWS tafadhali wape taarifa wengine.siyo sms ya kutunga ni kweli kabisa wametangaza. UJumbe huu mimi nimetumiwa tu Na wewe chukuwa taadhali huku ukIfanya utafiti.