Kuna aliyeitwa kwenye interview ya TANROADS Songea?

James Kimaka

Member
Feb 27, 2022
6
8
Habari za muda huu wakuu,

Ninaomba kama kunamtu ameitwa kwenye interview ya udereva TANROADS Songea anisaidie kunikumbusha walisema interview itafanyika wap maana mimi ni mgeni huko songea na sikumbuki tena walipopataja
 
Mkuu hata usipate shida.wewe ungewapigia wangekupa muongozo mzima..usipowapata leo basi kesho asubuhi wahi pale ofisini kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo nauli nenda kabeti unaweza kupata Hela ya kutosha kuliko kwenda kwenda kwenye interview
 
Back
Top Bottom