Naombeni written interview questions za afisa maendeleo ya jamii

Lupe Tz

JF-Expert Member
Aug 7, 2021
259
910
Habarii wakuu kwa heshima na taadhima ninaomba kwa mtu aliyewahi kufanya kada ya Afisa maendeleo ya jamii anisaidie maswali ambayo amewahi kukutana nayo kwenye interview
 
Piga msuli usisubiri zimamoto na maswali mengi siku hizi wanaleta kama scenario fulani kwa hiyo piga madesa yote ya class na mengine pitia mitandaoni utatusua tu mungu akubariki sana mpambanaji
 
Amina broo
 
Amina broo
Yaani ukiitwa written usiandike maelezo mengi sana na usilembe mwandiko Mimi nilifeli written nyingi sana kabla sijajiunga humu baada kupata technic humu nimeenda moja tu na kutoboa. So jipange tu mdau fuatilia thread za humu
 
Nakubali kaka
 
mimi pia natafuta lead ya maswali, niliwahi udhuria moja nikakutana na maswali ya research. dk 40 maswali 4, ukiandika essay hata moja huchomoi
 
Back
Top Bottom