James Kimaka
Member
- Feb 27, 2022
- 6
- 8
Habari za muda huu wakuu,
Ninaomba kama kunamtu ameitwa kwenye interview ya udereva TANROADS Songea anisaidie kunikumbusha walisema interview itafanyika wap maana mimi ni mgeni huko songea na sikumbuki tena walipopataja