Kuna ajali halafu Kuna ajali za aibu

Kuna ajali halafu Kuna ajali za aibu

Mr Beach Boy

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2021
Posts
1,702
Reaction score
5,115
Imagine unapata ajali ukiwa unatoka au unaenda kununua Malaya

Imagine unapata ajali kwasababu ulikuwa unafata umbea wa jambo Fulani.

Imagine unapata ajali ukiwa unaenda sehemu ambayo haikuhusu tena unaenda kwa kuvizia ulikatazwa.

Imagine unapata ajali ukiwa umetoka kumcheat mme au mke wako.

Imagine unapata ajali ukiwa unaenda sehemu kufata umbea au kugombanisha watu.

Kuna ajali alafu Kuna ajali za aibu, Mungu atuepushe na ajali za aibu.

Ni kheri kukosa kabisa ajali au kupata ajali ukiwa unatafuta ugali wako au wa familia Yako.

Karibuni. ....Uzi Tayari
 
Screenshot_20250608-213354.jpg
 
Umenikumbusha kuna mdada mumewe alisafiri nje ya nchi, huku nyuma yeye akasafiri mkoani kwenda kwa mchepuko wake..!!

Akapata ajali kitonga dereva IT alikufa yeye walimuokoa na akatoka mzima..!!
Anasema alibaki analia haamini, anawaza hivi angevunjika miguu angemjibu nini mumewe na familia yake? Au angekufa je?
 
Aiseee ilikuwa aibu kubwa sana kwakweli na sio kwake tu mpaka kwa kazazi chake
 
Imagine unapata ajali ukiwa unatoka au unaenda kununua Malaya

Imagine unapata ajali kwasababu ulikuwa unafata umbea wa jambo Fulani.

Imagine unapata ajali ukiwa unaenda sehemu ambayo haikuhusu tena unaenda kwa kuvizia ulikatazwa.

Imagine unapata ajali ukiwa umetoka kumcheat mme au mke wako.

Imagine unapata ajali ukiwa unaenda sehemu kufata umbea au kugombanisha watu.

Kuna ajali alafu Kuna ajali za aibu, Mungu atuepushe na ajali za aibu.

Ni kheri kukosa kabisa ajali au kupata ajali ukiwa unatafuta ugali wako au wa familia Yako.

Karibuni. ....Uzi Tayari

Who cares...
 
Ajali ni ajali tu, iwe ya bodaboda, lori, treni, ndege au kuvujika kitanda, kuanguka zote ajali, uwe umetoka kwa hawara, wazazi, kazini, kwa mzee wa upako, kwa mufti zuberi, mganga wa kienyeji au popote pale panapokupa iwe ni rizki au furaha yako, nani mwingine inamuhusu?

Maisha yanaendelea tu
 
Imagine unapata ajali ukiwa unatoka au unaenda kununua Malaya

Imagine unapata ajali kwasababu ulikuwa unafata umbea wa jambo Fulani.

Imagine unapata ajali ukiwa unaenda sehemu ambayo haikuhusu tena unaenda kwa kuvizia ulikatazwa.

Imagine unapata ajali ukiwa umetoka kumcheat mme au mke wako.

Imagine unapata ajali ukiwa unaenda sehemu kufata umbea au kugombanisha watu.

Kuna ajali alafu Kuna ajali za aibu, Mungu atuepushe na ajali za aibu.

Ni kheri kukosa kabisa ajali au kupata ajali ukiwa unatafuta ugali wako au wa familia Yako.

Karibuni. ....Uzi Tayari
Malaya tuna-request online siku hizi
 
Umenikumbusha kuna mdada mumewe alisafiri nje ya nchi, huku nyuma yeye akasafiri mkoani kwenda kwa mchepuko wake..!!

Akapata ajali kitonga dereva IT alikufa yeye walimuokoa na akatoka mzima..!!
Anasema alibaki analia haamini, anawaza hivi angevunjika miguu angemjibu nini mumewe na familia yake? Au angekufa je?
Angekufa wala si shida...
 
Akapata ajali kitonga dereva IT alikufa yeye walimuokoa na akatoka mzima..!!
Anasema alibaki analia haamini, anawaza hivi angevunjika miguu angemjibu nini mumewe na familia yake? Au angekufa je?
Baada ya ajali alielekea wapi?
 
Umenikumbusha kuna mdada mumewe alisafiri nje ya nchi, huku nyuma yeye akasafiri mkoani kwenda kwa mchepuko wake..!!

Akapata ajali kitonga dereva IT alikufa yeye walimuokoa na akatoka mzima..!!
Anasema alibaki analia haamini, anawaza hivi angevunjika miguu angemjibu nini mumewe na familia yake? Au angekufa je?
Aliponea ponea sana, kuna wale tunaodanganya tupo mashariki ya kati alafu tupo magharibi ya mbali, Mungu atuepushie tu lisitukute jambo.
 
Kuna jamàa huku mwezi uliopita kapata ajali ya pikipiki akiwa na mchepuko akakatwa mguu now ni kilema No reform No election
Alikwambia mwenyewe kuwa huyo aliepatanae ajali ni mchepuko wake?
 
Ukifa unakuwa umeacha ushuhuda mbaya kwa waliobaki, watoto watasema mama/baba alikufa kwa ajali akiwa na mchepuko, mbaya ni ile ya kufia gest
 
Umenikumbusha kuna mdada mumewe alisafiri nje ya nchi, huku nyuma yeye akasafiri mkoani kwenda kwa mchepuko wake..!!

Akapata ajali kitonga dereva IT alikufa yeye walimuokoa na akatoka mzima..!!
Anasema alibaki analia haamini, anawaza hivi angevunjika miguu angemjibu nini mumewe na familia yake? Au angekufa je?
Lazima aache kuchepuka, hapo Mungu alimuonya moya kwa moya
 
Imagine unapata ajali ukiwa unatoka au unaenda kununua Malaya

Imagine unapata ajali kwasababu ulikuwa unafata umbea wa jambo Fulani.

Imagine unapata ajali ukiwa unaenda sehemu ambayo haikuhusu tena unaenda kwa kuvizia ulikatazwa.

Imagine unapata ajali ukiwa umetoka kumcheat mme au mke wako.

Imagine unapata ajali ukiwa unaenda sehemu kufata umbea au kugombanisha watu.

Kuna ajali alafu Kuna ajali za aibu, Mungu atuepushe na ajali za aibu.

Ni kheri kukosa kabisa ajali au kupata ajali ukiwa unatafuta ugali wako au wa familia Yako.

Karibuni. ....Uzi Tayari
Kuna dada mmoja mke wa mtu lakini alikuwa na mchepuko wake dereva wa malori ya kwenda Zambia na Congo huko. Chukulia anaishi chalinze center. Akaaga kwa mumewe kuwa anaenda Dar kwa ndugu zake kusalimia. Akafika Dar akasalimia kweli halafu wakaanza safari na mchepuko wake anaenda Congo ila angemshusha demu Chalinze kwake. Humo kwenye gari wakaanza starehe zao kwenye kitanda pale nyuma, gari akawa anaendesha utingo, lengo ashushwe Chalinze kwa mbele kidogo halafu ndio arudi center pale ambapo ndio kwake. Basi wakawa wanamalizia round yao ya kuagana humo kwenye gari, wakati ndio wanapita Chalinze center. Hapo hapo center mbele kidogo tu gari ikapata ajali mbaya ya kugongana na likaanguka. Dada na huyo mchepuko wake Dereva wakakutwa wako uchi kabisa, wa mnyama. Dereva amekufa, dada na utingo aliyekuwa anaendesha gari wako mahututi, ila utingo anaweza kuongea. Nadhani kwa ajili ya lile wenge la ajali utingo akatoa siri kwamba aliachiwa aendeshe gari dereva akawa na demu wanafanya mapenzi nyuma pale kwenye kitanda. Ilikuwa aibu sana.
 
Umenikumbusha kuna mdada mumewe alisafiri nje ya nchi, huku nyuma yeye akasafiri mkoani kwenda kwa mchepuko wake..!!

Akapata ajali kitonga dereva IT alikufa yeye walimuokoa na akatoka mzima..!!
Anasema alibaki analia haamini, anawaza hivi angevunjika miguu angemjibu nini mumewe na familia yake? Au angekufa je?
Ukishakufa huna cha kumjibu mtu!
 
Back
Top Bottom