C.T.U
JF-Expert Member
- Jun 1, 2011
- 5,074
- 3,753
Nimeipata kutoka kwa matumbo
Changudoa wako aina 3
1. Changudoa huru
- Hawa ni wale wanaosimama barabarani na sehemu nyingine za starehe. Wako huru yoyote yule hupata huduma. Wengi wao ni wezi hawachelewi kukuliza wakipata fursa na hii ndiyo kazi wanayoitegemea kwenye maisha yao. Wao ni cash tu hakuna cheki wala mkopo. Hawana wivu kabisa
2. Changudoa mtandao
- Hawa hufanya kazi kwa njia ya mawasiliano ya simu na mitandao ya kijamii. Wengi wao ni wastaarabu na wengine huwa na kazi nyingine.
Anaweza kuwa na wateja wake 15 hivi ambao anajua jinsi ya kuwapanga na anaweza kutoa mkopo. Pia wana wivu kidogo.
3. Changudoa siri
- Hawa ni wapenzi/wachumba/wake za watu
Malipo yao si ya moja kwa moja yaweza kuwa lunch, lift, mafuta ya gari, cheo au upendeleo kazini na mizinga ya hapa na pale. Huwa na wateja 2 - 3 mara nyingi huwa ni workmates au classmates au jirani yake. Biashara yake hufanya saa za kazi hivyo ni vigumu kujua. Wana wivu sana
Wewe umekutana na aina gani ya changudoa.Toa ushuhuda wako