Kuna aina tatu za machangudoa

Kuna aina tatu za machangudoa

Kwa mtizamo wako basi karibia asilimia kubwa ya wanawake ni machangudoa hasa no.3,wanaume wengi wanapenda hili kundi sijui wao vip
 
Minishapiga aina zote hapa kwetu a.town shivazi ziko nyingi tu mmpaka zenye makengeza
 
Kuna lichangudoa namba 3 ni balaa,linanisumbua ni tatizo.
 
Wapo malaya wa Facebook, WhatsApp na wale wa maofisini wa kimya kimya lakini unakuta ofisi nzima kaimaliza hao ni changudoa silence ambao wakati mwingine hujidai ni expensive sana hupenda simu za gharama, hotel za juu kila usiku wapo bar kubwa kubwa, hawalali ni mapopo kama wanaijeria, Umalaya Dsm upo kila kona kwani umdhaniaye kuwa katulia kumbe ni changudoa wa kimya kimya kwa waume za watu, mwingine ataonekana kama mcharuko kumbe si malaya ni mjanja wa kukwepa vishawishi, machangudoa wengi siku hizi huenda kujiuza kwenye hotel zenye swimming pool, huko ndipo wengi hujiuza kimya kimya, ukiona mwanamke anapenda swimming ujue huyo hafai tena vinginevyo awe anakwenda na watoto wake au mme wake kinyume na hapo ni Umalaya kwa kwenda mbele.
 
Kwa mtizamo wako basi karibia asilimia kubwa ya wanawake ni machangudoa hasa no.3,wanaume wengi wanapenda hili kundi sijui wao vip

Hilo ndilo kundi la kutia Umasikini maana atakuchuna ukizani upo peke yako kumbe mpo wengi sana.
 
Kuna wale wanaopenda kutega sehemu fulani fulani hivi.
Malls, Cinema, Hotels, Lounge...
Ukiwaona wa gharama kuanzia nywele hadi kucha, wengi wao wasomi.
Waongo balaa, hawana kazi wala biashara inayojulikana ila wanaishi maisha ya juu.
Miili yao inawalipa.
 
Wanaume wakiweza kupiga mgomo wa Tamaa za mwili sijuia hao changudoa wa kimya kimya watakula wapi?
 
Wanaume wakiweza kupiga mgomo wa Tamaa za mwili sijuia hao changudoa wa kimya kimya watakula wapi?

Hata mm huwa najiuliza wateja wao ni kina nani,na wanajulikana kwa jina gani?
 
Namba mmoja ndo changuo..hawa 2&3 ni malayaa..na kundi la tatu ndo kabisaa sio machangudoa...mtu sex ili apate kazi ni changudoa??au cheo?? Au lunch?...en wey mtazamo wako ila sio kwelii
 
Hata mm huwa najiuliza wateja wao ni kina nani,na wanajulikana kwa jina gani?

Wateja wao ni mafuska fulani halafu wengi wa wateja wao ni malimbukeni.
Wale ambao utotoni walikua na maisha magumu wakawa na ndoto za 'nikipata hela nita....' na wengine wauza sembe na biashara haramu.
Kwa kifupi ni wale wanaume malimbukeni kabisa kama kina .......
 
mi napiga sana hawa namba tatu ha ha ha ha ha mkuu umepatia wanapatikana muda wa kazi tu
 
alafu nimepata idea ntaanza kwenda CINEMA usiku ni nikapige watoto wa kishua
 
Back
Top Bottom