Msandawe Halisi
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 647
- 351
Wa kwanza - Ni wale ambao wanawake wanawatafuta kwa kuwatega na kujitongozesha
Wa pili - Ni wale wanao watongoza wanawake bila wao kutongozwa.
Katika group la wa kwanza. Cha kushangaza, wengine mpaka unajiuliza kwanini anapapatikiwa hivi?
Mda mwingine mpaka hawa wanawake hugombana.
Embu wanawake fungukeni, kuna siri gani.
Najiuliza ni nyota ya mtu ama?
Au wana majini mahaba?