Kuna aina mbili za wanaume

Kuna aina mbili za wanaume

Mtoa uzi kawapa nafasi wanawake wachangie chakushangaza midume ndio inaoongoza kwa kuchangia, sijui tuwaeleweje?
 
Anajali, anapenda, mzuri wa kuingiza mkono mfukoni hata km anasura mbaya na hata km hapigi dushelele vizuri...
Hivyo ktk mambo ya kuwezesha mwanamke aishi vizuri mjini anaweza so unahisi dah nikimuachia huyu maisha yangu yatakuwa kwishneh coz ndio kama baba yangu




Wa kwanza - Ni wale ambao wanawake wanawatafuta kwa kuwatega na kujitongozesha

Wa pili - Ni wale wanao watongoza wanawake bila wao kutongozwa.

Katika group la wa kwanza. Cha kushangaza, wengine mpaka unajiuliza kwanini anapapatikiwa hivi???? Mda mwingine mpaka hawa wanawake hugombana.

Embu wanawake fungukeni, kuna siri gani. Najiuliza ni nyota ya mtu ama???? Au wana majini mahaba????
 
Kutongozwa na mwanamke raha ww asa ukiwa unajifanya hutaki bas bichwa hilooo

Weee; inategemea ; ilishawahi nitokea hiyo kumbe demu mwenyewe alikuwa anachukukuliwa na mwenyekiti Wa kijiji; basi kajitangaza kuwa mi nakula mzigo; nashangaa Siku moja mwenyekiti Wa kijiji kaja mpaka gheto kwangu akanipa onyo Kali; daahh; me mwenyewe nilikuwa ndo mgeni mazingira Yale; yaaani ni shidaaaah
 
Kundi la tatu ni wanaume wanakirimiwa wenzi wao na Mungu,hawajichukulii sheria mkononi ni lazima watete na Baba yao wa mbinguni hawako tayari kuvamia stress zisizo na kichwa wala miguu!
 
kuna wale:
1. wenye umbo zuri ila hana hela na kitandan ndo vile tena!!!
2. ni mzuri mpaka anakuwa shoga kwa kujiona!!!!
3. kuna wale wazuri kisa ana hela nyingi!!!
4. kuna wazuri wanagombaniwa na wasichana ila wanajiheshimu na wana kazi nzuri mfano mzuri kama mimi..."
5. kuna wazuri ila hawana bahati ka ajili ya hasira zao!!!
na kadhalika...........

Daaah... hii ya 5 ni sanaa
 
Ukiona unapendwa sana na wanawake,fahamu kuwa una nyota ya chips.
 
Mkuu kuna wale hawajulikani ni wa kimnya au ni wapole wapo tu hawaeleweki ila unashangaa ana pisi moja kali sana mpaka unajiuliza kaichomoa vipi
 
Back
Top Bottom