Kuna aina kuu mbili za mke


Hayo maneno mawili ya mwisho ndo janga la kitaifa! Sijui nani katuloga! Lkn dah utamu wa kondoo mkia wake bhana! Hahaha wanaume tu wadhaifu sana kwenye hayo madude.
 
Ukipata tako Kama lile la sanchoka umemaliza kila kitu dude Kama lile ukileaka ndani

Yaani hilo bichwa utakalo kuwa nao na kibur na majivuno unaweza ukawa unatukana tu flat screen ukiwaona barabarani
Hayo maneno mawili ya mwisho ndo janga la kitaifa! Sijui nani katuloga! Lkn dah utamu wa kondoo mkia wake bhana! Hahaha wanaume tu wadhaifu sana kwenye hayo madude.
 
Hahahah Sisi wanaume tunadhani NDOA ni mvuto wa Shape na Sura, mvuto wa sex na kushindana na marafiki.
Tatizo wanaume hatutembei na x ray ili tuone tabia zao.tunachoona ni shape na sura
 
Umenifurahisha 🀩🀩eti ..... makubwa haaaahhhhhh
 
Yakheee matako ndio ugonjwa wetu atiii ekisha tabia baadae
 
Hapo ndio wanaume mnapofeli na kuangukia pua, kwa kuona kuwa mke ndio ana jukumu la kuilinda ndoa isivunjike wakati mme anafanya kila linalohatarisha uwepo wa ndoa hiyo...

Msipobadilisha mtazamo kuhusu ndoa, Mtabakia kusemasema vinenoneno kama hivi...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…