Kambi ya Fisi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,505
- 21,981
Ni kuomba mungu akuongoze kupata chaguo sahihiAfadhali kuwa single maisha yako yote kuliko kufa mapema mikononi mwa mchawi. Wanawake wengine ni kama wachawi tu, kila siku wanaroga wanaume wa kuwatesa, wanapenda ndoa na huwa ni 'wanyenyekevu' kabla ya ndoa Ila baada ya ndoa hubadili kila kitu.
Baadhi ya wanawake ni watendaji wenye viituko - kila kitu wanataka kiende watakavyo wao . Hawana hisia ya huruma na hawapo tayali kubadilika. Wao ni wenye hisia kali, wenye hasira kali na wanaopenda kuwaka kwa hasira kamilifu.
Wanaweza kulipuka kwa usumbufu mdogo tu. Hakuna kitu kizuri cha kutosha kwao. Wao hujiona ni wa muhimu sana kuliko wanaume. Wanahoji kila kitu. Hawamwamini kamwe mwanaume. Wanamtilia shaka mwanaume kwa kila kitu.
Wanapenda kujua kila kitu hata kama ni jambo dogo. Hata ufanye nini au uvumilie vipi , mwanaume huwezi kamwe kukidhi mitazamo yao ya kukusumbua.
Daima wanapenda kuwa na neno la mwisho. Na kamwe hawakubali kuwa wamekosea.
Fedha siku zote ni idara yao. Wanaamua jinsi pesa itakavyotumika.
Mwanaume mwenzangu (hasa wewe ambaye hujaoa) usije kuishi na mwanamke kituko mwenye kudhibiti kila kitu nakushauri usiishi na mwanamke mkorofi, utakufa kabla ya muda wako kufika.
Ni heri ukae kwenye kona ya paa la nyumba yako (Mithali 25:24) na umngoje Masihi.
Ubarikiwe.
Kwa niaba ya wanawake wenzangu nasemaje Asante na Mungu akuzingatie Sana kwenye kila Jambo lako.BarikiwaWanawake generally ni viumbe wema sana.
Jitahidi uwaelewe wanawake wala hutakuja kuwalaumu humu.
Vijana mnapaswa mrudishwe shule kufundishwa kuhusu wanawake.
Nashukuru niliwaelewa wanawake mapema sana na sitakaa niwalaumu hata siku moja, wanawake ni viumbe wema sana. Wanawake ni moja ya viumbe wa baraka sana kuwepo Duniani.
Wanawake wote Mungu awabariki sana. Poleni sana kwa changamoto zote mnazopitia kwenye maisha, mahusiano nk.
Inaharibu misuri hiyo brother.Ndyo maana mm CHAPUTA
Bora wewe umetusaidia kuhojiNyuzi za kuwashambulia wanawake zimekuwa nyingi sana.
Hivi ni kwanini?
Nahisi Kuna jambo haliko sawa hasa Kwa sisi wanaume.
Shida ni ndogo sana kwa walalamikaji, ni kwamba wanaingia kwenye chumba Cha mtihani (mahusiano) kabla ya kufundishwa masomo husika
Naomba uwaandalie uzi labda wataelewaShida ni ndogo sana kwa walalamikaji, ni kwamba wanaingia kwenye chumba Cha mtihani (mahusiano) kabla ya kufundishwa masomo husika
Huo uzi tunauhitaji ASAP.Naomba uwaandalie uzi labda wataelewa
Mkuu tunaomba/ninaomba kufundishwa somo husika.Shida ni ndogo sana kwa walalamikaji, ni kwamba wanaingia kwenye chumba Cha mtihani (mahusiano) kabla ya kufundishwa masomo husika
Nyuma ya keyboard unapanga kumchanua mchumba weekend 😅Ndyo maana mm CHAPUTA