Kumwonyesha mke 'salary slip'

Kumwonyesha mke 'salary slip'

Mi mshahara wake naujua..Ila wangu haujui
 
Mbona jambo la kawaida sanaaa kwa mwanamme mwenye busara!! mie najua mumewangu mshahara wake na yeye anajua wangu,na nivizuri akijua ili muweze kupanga mamba ya maisha vizuri kuliko ukificha ficha....
 
Kwani huyo ni mkeo au ni adui yako ambae hutaki aone hiyo salary slip
 
Salary slip n muhim ajue, ila n aibu kubwa kwa mwanaume kutegemea salary pekee! Kuepusha fujo zisizotija nabkuongeza aman ndan ya nyumba, mwache ajue salary yako ila make sure unakuwa na kipato cha ziada angalau 0.5~2times your salary! Na hizo ndo hatakiwi jua zinaingiaje wala zinatokaje! Aone tu unatenda miujiza ktk maendeleo yenu
 
Ni sawa na kumpatia document zote atunze yaan hati za nyumba, vyeti vyako, kadi za gari n.k.

Siku akiamka vibaya huna chako.. same applies to salary slip. Kwa akili za wanawake mola mwenyewe anajua usijiexpose saaaana utajuta siku moja.
 
Aisee mi mkewangu anajua kila sent inayo ingia na inayo toka na hii imenisaidia sana hata pale ninapo kwama kiuchumi yeye hunipa sapoti kpsana maana sion haja ya kumficha wakati yeye ndiye mke na msaidiz wangu kwenye shida zetu na raha zetu, usipo mwaminu mkeo kwenya raha zako utamwamini kwenye shida zako. Mke wangu ni haki yake kujua haya yote, wanaume wengine utakuta mkewe anamficha halafu vimada anawambia sijui imekaeje hii.
hatakiwi kujua chochote ye kikubwa nimpatie matumizi yake tu
 
Ni sawa na kumpatia document zote atunze yaan hati za nyumba, vyeti vyako, kadi za gari n.k.

Siku akiamka vibaya huna chako.. same applies to salary slip. Kwa akili za wanawake mola mwenyewe anajua usijiexpose saaaana utajuta siku moja.
Inategemeana na aina ya mwanamke pengine, lakini tukubali wapo wanawake wanao jitambua na ni msaada mkubwa sana kwa mume na ndio chanzo kikubwa cha mafanikio ya familia, ukipata mke mwema anaye jitambua huna haja ya kumficha kiasi hicho yani unamuona mkeo kama unaishi na jambazi?nashindwa kuelewa ni ,mwanamke au ni mke wa aina gani anazungumziwa hapa .
 
Kwa nini asione ndugu,hili tatizo la kuficha ficha vitu halisaidii kinachotakiwa ni msimamo tu
 
Huwa najiuliza hivi ni haki kumwonyesha mke salary slip na kujua mshahara wako? Mwenye maoni tafadhali anakaribishwa.
Mpaka umemwoa ina maana mmeaminiana,bila hivyo una maana ya kuishi naye kama mke
 
Ni sawa na kumpatia document zote atunze yaan hati za nyumba, vyeti vyako, kadi za gari n.k.

Siku akiamka vibaya huna chako.. same applies to salary slip. Kwa akili za wanawake mola mwenyewe anajua usijiexpose saaaana utajuta siku moja.
Kama utafanya hivyo huyo siyo mke ni kahaba umeoa
 
Ni suala ka kawaida sana,ni sawa na wote wawili mnavyokuwa huru kwa kila mmoja wenu kufungua simu ya mwengine pasina kuweka ma password.
 
Nilimuonesha mwanamke Salary slip yangu kwa utani tu... akaniambia nimnunulie Vitz...
 
tuunganishe pamoja maswali, ni vyema kumuonyesha mume salary slip?? ama namba ya siri ya bank m pesa n.k?? ili tupate majibu ya jumla??
 
Back
Top Bottom