Kumwendea Al Ahly Zanzibar sio dawa, Percy Tau na Aliou Dieng hawarogeki

1979Magufuli

JF-Expert Member
Feb 20, 2023
438
1,752
Jamaa wameona kwa jinsi mchezo ulivyo mgumu basi njia pekee iliyobaki ni kwenda zanzibar ambako walitumia waganga wa pemba kuipiga 5 timu moja ambayo jana imekaa kikao na wachezaji kubaini tatzo wakati ukweli ni kuwa wao ndio tatizo kubwa ndani ya timu.

Narudia tatizo sio wachezaji wa timu iliyofungwa mabao 5 kwa 1, tatzo like kwenu viongozi, mnawashushia lawama za bure players.

Nyie mliofungwa na waarabu bao 3 huko zanzibar labda mcheze na azam au mliowafunga 5 sawa lakin Percy Tau ni habari nyingine.Wale michuano hii ndio nyumbani kwao, hata mhangaike vip na uzuri wake wengine kiingereza cha kuombea maji tunakijua, tutakwenda kwenye website yao to tell them that the should be very keen about superstitions against their opponent.We will tell them you are ready to sacrifice anybody in order to win the game.

They should take precautions when they land at the airport since their opponent will start to pour their magic water there, do not agree to board their bus, come with your food, communicate with me through mobile number 0787444444888888 if you want to overcome Utopolo.

You will be grateful to me.
 
Dah Yanga wanaweza wasitoke hata na point moja kwenye group lake. Al Ahly wameshaona timu za kusini zimeanza kuwachezea masharubu, watakuja na zana zote wala hauhitaji kuwapa ramani ya mchongo mzima. Nimewaangalia wake Medeama nao wako vizuri kishenzi, wanaweza kuipiga uto ndani nje.
 
Mda huu wamemaliza kumtengeneza Kocha amafanyiwa tambiko la hatari na iyo siku huyo beki wao ndio atakua mbeba mikoba...
Nb.
Niko zanzibar kila kitakacho jili nitakiweka hapa bila kuficha Wana jamii Forums naomba ulinzi wenu
F7A0DHDXsAAvVEM.jpeg
 
Dah Yanga wanaweza wasitoke hata na point moja kwenye group lake. Al Ahly wameshaona timu za kusini zimeanza kuwachezea masharubu, watakuja na zana zote wala hauhitaji kuwapa ramani ya mchongo mzima. Nimewaangalia wake Medeama nao wako vizuri kishenzi, wanaweza kuipiga uto ndani nje.
Kaa kwa kutulia usubilie icho unachokiwazia akilini mwako kije kitokee, lakini nyie ni mabingwa wa kuferi Kila mnaloomba linashindikana
 
Jamaa wameona kwa jinsi mchezo ulivyo mgumu basi njia pekee iliyobaki ni kwenda zanzibar ambako walitumia waganga wa pemba kuipiga 5 timu moja ambayo jana imekaa kikao na wachezaji kubaini tatzo wakati ukweli ni kuwa wao ndio tatizo kubwa ndani ya timu.
\

You will be grateful to me.
Jwaneng kaloga palepale uwanjani na mwarabu kakaa,hao mabasha wako wameishia na mtailaumu Sana safari ya Zanzibar
 
Dah Yanga wanaweza wasitoke hata na point moja kwenye group lake. Al Ahly wameshaona timu za kusini zimeanza kuwachezea masharubu, watakuja na zana zote wala hauhitaji kuwapa ramani ya mchongo mzima. Nimewaangalia wake Medeama nao wako vizuri kishenzi, wanaweza kuipiga uto ndani nje.
Tangu mugongwe vitano akili zimewaruka
 
Jamaa wameona kwa jinsi mchezo ulivyo mgumu basi njia pekee iliyobaki ni kwenda zanzibar ambako walitumia waganga wa pemba kuipiga 5 timu moja ambayo jana imekaa kikao na wachezaji kubaini tatzo wakati ukweli ni kuwa wao ndio tatizo kubwa ndani ya timu.

Narudia tatizo sio wachezaji wa timu iliyofungwa mabao 5 kwa 1, tatzo like kwenu viongozi, mnawashushia lawama za bure players.

Nyie mliofungwa na waarabu bao 3 huko zanzibar labda mcheze na azam au mliowafunga 5 sawa lakin Percy Tau ni habari nyingine.Wale michuano hii ndio nyumbani kwao, hata mhangaike vip na uzuri wake wengine kiingereza cha kuombea maji tunakijua, tutakwenda kwenye website yao to tell them that the should be very keen about superstitions against their opponent.We will tell them you are ready to sacrifice anybody in order to win the game.

They should take precautions when they land at the airport since their opponent will start to pour their magic water there, do not agree to board their bus, come with your food, communicate with me through mobile number 0787444444888888 if you want to overcome Utopolo.

You will be grateful to me.
Tuache. Nenda zako kwa Makirikiri
 
Kuna neno moja umesahau kuweka y mwishoni mwa hilo neno.
 
Kaa kwa kutulia usubilie icho unachokiwazia akilini mwako kije kitokee, lakini nyie ni mabingwa wa kuferi Kila mnaloomba linashindikana
Nitasubiri kwa kutulia nisipoona kafara lolote kubwa limefanyika hadi jmosi asubuhi nitajua shughuli yenu imeisha. Mwanzoni mwa msimu niliitabiria Yanga msimu bora kuliko Simba na uzi upo ila mna mlima mrefu sana siyo siri
 
Akunaga mkate mgumu mbele ya chai, huo mlima utakuwa kichuguu soon!
 
Back
Top Bottom