Kumwambia mchepuko wako kama una mke/mume

Kumwambia mchepuko wako kama una mke/mume

We mwambie mkeo kua una mchepuko, halafu mchepuko usimwambie kabis kua una mke. [emoji48]
 
mchepuko unatakiwa kuabiwa ukweli.mke unamficha.hapo ndio burudani ya kuchepuka utaiona.
maana hata mke akikukagua na kumpigia mchepuko,mchepuko unampooza kuwa na rafiki wa kawaida wa kazini au kibiashara.hapo inakuwa burudani
Oooh kumbe ndivyo mnavyofanya!!!
Niliwahi kupigiwa na mke wa mtu akiuliza nina mahusiano gani na mumewe nikamjibu ni rafiki tu, sasa akisoma comment hii si ndio anaweza hisi nilimdanganya[emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Wabongo tunaigana kila kitu, mpaka mawazo. Zikianza topics za kupiga puli, zitafuatana kibao; kunuka nyuchi, vivyo hivyo. Saivi naona ni zamu ya michepuko.
Umesahau na mada za Njaa nchini, of course ndio zinaTrend kinomanoma
 
Maisha ya sasaa mm mchepuko wangu unajuaa nina mtu sasa kwakuwa twafanya kazi tofaut nikiwa naye namuambiaa mchepuko kaja kchepuko anatulia kutuma sms na kunitafutaaa
 
Umesahau na mada za Njaa nchini, of course ndio zinaTrend kinomanoma

Kwani hakuna njaa? Juzi kati niliona kwenye account ya Twitter(verified) ya maza flani raia wa kigeni, akishukuru wadau kwa kuwezesha kuwalisha watoto kadhaa Tanzania. Aliambatanisha na picha ya sahani kadhaa za makande sijui yale..?! Sijui ni watoto yatima, au wahanga wa njaa.
 
mchepuko lazima ufahamu kuna mwenyewe...... hata nduguzo anatakiwa awfahamu..... laweza tokea la kukuta huko hana wa kumwambia.........maana kama wewe ni mchepukaji chepuka kiuhalisi......japo ina kisirani balaaaa.........
 
Jamani kuchepuka muhimu na ndio maana kuna amani duniani vingenevyo tukijidai kuwa waaminifu hakika nakuambia wanawake wengi wataandamana kudai haki zao cha msingi huo mchepuko uambiwe ukweli tu toka mwanzo lazima tuelewe kuwa wanawake ni wengi kuliko wanaume popote duniani
 
Kwani hakuna njaa? Juzi kati niliona kwenye account ya Twitter(verified) ya maza flani raia wa kigeni, akishukuru wadau kwa kuwezesha kuwalisha watoto kadhaa Tanzania. Aliambatanisha na picha ya sahani kadhaa za makande sijui yale..?! Sijui ni watoto yatima, au wahanga wa njaa.
Nilikuwa narejea kuhusu post yako uliosema "wabongo tunaiga kila kitu, hadi mawazo"
kh.PNG

"kwani hakuna njaa?" it's a new topic.
Anyways, huenda ipo kweli, lisemwalo lipo, na kama halipo laja.
Mi sina ushahidi, maana nyumbani kwangu nina hadi chakula cha akiba.
 
Nilikuwa narejea kuhusu post yako uliosema "wabongo tunaiga kila kitu, hadi mawazo"
View attachment 460681
"kwani hakuna njaa?" it's a new topic.
Anyways, huenda ipo kweli, lisemwalo lipo, na kama halipo laja.
Mi sina ushahidi, maana nyumbani kwangu nina hadi chakula cha akiba.

Niliuliza ili kama kuna njaa kweli, then hizo mada ziko justified. Na mfano ulilenga kuonyesha kuwa siyo wabongo tu wanaongelea njaa, kama ilivyo kwa hizi mada nyingine.
 
Niliuliza ili kama kuna njaa kweli, then hizo mada ziko justified. Na mfano ulilenga kuonyesha kuwa siyo wabongo tu wanaongelea njaa, kama ilivyo kwa hizi mada nyingine.
kuna uzi umenichekesha sana, eti waziri mkuu anasema nchi haina njaa, ila ikitokea watatangaza..!!
 
umeniuliza habari za mchepuko wangu sio mm, Bonny mm sio dada ako narudia tena.

Hivi ambacho Bonny haelewi ni nini!

Na kwa nini anasisitiza kuendelea kukuita dada; anataka kukunyima nini huyu?
 
wewe jaman huwezi amini natamani nikuone tu hata nikununulie maji/soda.

uko tayari mamito? I love you and your comments ofcourse.
ongezea unipe na kapesa hapo .. nipo tayari na mimi nikuone niongeze umbea hhahahahaha
 
ongezea unipe na kapesa hapo .. nipo tayari na mimi nikuone niongeze umbea hhahahahaha
hahahhaahah kapesa hata mie nataka aisee, si unajua DNA yangu mkuu? au unajifanya kunipotezea. DNA yangu kwenye hayo mambo ni kama yako.
 
Ni upumbavu kwa msichana anaejielewa kukubali kuwa mchepuko ilihali akijua yeye hapendwi, anaependwa kawekwa ndani yeye n kiburudisho tu. Yahitaji moyo na uzoefu. Na kuanza kupangiwa ratba za kukutana, kupiga simu n.k vyote unakubali tu. Aiseeee i don't see myself into that place
 
Back
Top Bottom