Kumwambia mchepuko wako kama una mke/mume

Kumwambia mchepuko wako kama una mke/mume

Ishawahi kumtokea rafikiangu alikua na mchepuko akafikq kama hana mtu kumbe kaolewa mwisho wa siku achepuko akajua kua anamume na mume akajua kama mkewe anachepuka ikawa mwisho wa wote alikosa mume na mchepuko
 
Ishawahi kumtokea rafikiangu alikua na mchepuko akafikq kama hana mtu kumbe kaolewa mwisho wa siku achepuko akajua kua anamume na mume akajua kama mkewe anachepuka ikawa mwisho wa wote alikosa mume na mchepuko

hapo ndipo alipokosea kwa nn uongope kakosa vyote kama una mume kuwa mkweli tu
 
Hii michepuko hii,kuna wakati inakera mpaka unatamani umwambie mkeo.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Pale maji yanapokua yamefka shingon
 
Mchepuko unafaa kuambiwa ukweli ukiwa umesha pewa
Tunda ili akizingua ajikataee tu mweupeee

Na mm nibak na wife wang

Ila ucjiloge ukamwambia
Wife unamchepuko
[emoji1] [emoji1] [emoji1] ucku utauona mchana
 
Kampa kampa tena shemejiye ni faru joni na picha ndio linaanzia ngorongoro kuelekea Sesakwa Grumeti kwa mwekezaji
 
Hili linatuhusu jinsia zote.

Inawezekana umeshawahi kuchepuka au la. Lakini swali la msingi ni hili, kuna umuhimu wowote wa kumwambia mchepuko kama una mume au mke? Je ukimwambia madhara yake ni yapi na usipomwambia madhara yake ni yapi? Msije kusema nachekelea kuchepuka, but we live the reality.

Nasema hivi kwa sababu kuna rafiki yangu juzi kati yamemkuta. Alikuwa na kamchepuko kake, mimi sikujua ilikuwaje, but baada ya mambo yake kubuma akanishirikisha nimshauri la kufanya nikashindwa kabisa. Hakuwahi kumwambia mchepuko wake kama ana mke, sasa huyo mchepuko akawa anambana jamaa kweli kweli. Akawa anakagua simu ya jamaa kwa usiri wa hali ya juu bila jamaa kujua. Akanasa namba za mke wa jamaa. Na siku moja akampigia simu na kumwaga ugali na mboga kwa pamoja. Ninavyoongea jamaa ndoa imeshavurugika.

Ni hayo tu kwa leo, hodi jukwaani

Mithali 5:1-8

1
footnote.png
Mwanangu, sikiliza kwa makini hekima yangu,
sikiliza vizuri maneno yangu ya busara,
2
footnote.png
ili uweze kutunza busara
na midomo yako ihifadhi maarifa.
3
footnote.png
Kwa maana midomo ya mwanamke kahaba
hudondoza asali, na maneno ya kinywa chake
ni laini kuliko mafuta,
4
footnote.png
lakini mwisho wake ni mchungu kama nyongo,
mkali kama upanga ukatao kuwili.
5
footnote.png
Miguu yake hushuka kuelekea kwenye kifo,
hatua zake huelekea moja kwa moja kaburini
6
footnote.png
Yeye hafikiri juu ya njia ya uzima,
njia zake zimepotoka, lakini yeye hajui.

7
footnote.png
Sasa basi wanangu, nisikilizeni,
msiache ninalowaambia.
8
footnote.png
Njia zenu ziwe mbali naye,
msiende karibu na mlango wa nyumba yake,


Biblia inavyosema kuhusu changudoa/malaya/nyumba-ndogo/michepuko .... etc

...... Tena Biblia inaendelea na kusema.....

Mithali 5:20-23

20
footnote.png
Kwa nini mwanangu, utekwe na mwanamke kahaba?
Kwa nini ukumbatie kifua cha mke wa mwanaume mwingine?
21
footnote.png
Kwa maana njia za mtu ni wazi kabisa mbele za Bwana,
naye huyapima mapito yake yote.
22
footnote.png
Matendo mabaya ya mtu mwovu humnasa yeye mwenyewe;
kamba za dhambi yake humkamata kwa nguvu.
23
footnote.png
Atakufa kwa kukosa nidhamu,
akipotoshwa kwa upumbavu wake mwenyewe.
 
Mithali 5:1-8
1
footnote.png
Mwanangu, sikiliza kwa makini hekima yangu,
sikiliza vizuri maneno yangu ya busara,
2
footnote.png
ili uweze kutunza busara
na midomo yako ihifadhi maarifa.
3
footnote.png
Kwa maana midomo ya mwanamke kahaba
hudondoza asali, na maneno ya kinywa chake
ni laini kuliko mafuta,
4
footnote.png
lakini mwisho wake ni mchungu kama nyongo,
mkali kama upanga ukatao kuwili.
5
footnote.png
Miguu yake hushuka kuelekea kwenye kifo,
hatua zake huelekea moja kwa moja kaburini
6
footnote.png
Yeye hafikiri juu ya njia ya uzima,
njia zake zimepotoka, lakini yeye hajui.

7
footnote.png
Sasa basi wanangu, nisikilizeni,
msiache ninalowaambia.
8
footnote.png
Njia zenu ziwe mbali naye,
msiende karibu na mlango wa nyumba yake,


Biblia inavyosema kuhusu changudoa/malaya/nyumba-ndogo/michepuko .... etc

sasa mbona wewe ni msweet?
 
ni vizuri ukamwambia una mke na kumuaminisha kuwa uanaipenda ndoa yako yeye ni kuburudisho tu
Kabisa tena unaongezea unamuambia wewe nakutumia kwa ajili ya kuridhisha tamaa zang za mwili nikikuchoka ama nikikukinai ntarud kwa mke wang ama ntatafuta kisichana kingine
 
Mchepuko ukimwambia kuwa una njia kuu basi utachepuka raha mustarehe
 
Ni vizuri kusema ili mchepuko uamue kama unataka kuwepo katika game au la. Na pia kujua uhusiano una mipaka.
 
Me nafikiri dawa ni kumwambia ukweli mkeo/mumeo. akijua hatakusumbua sana sana na yeye atatafuta wake ajipooze
 
Back
Top Bottom