Hata Mimi na umri huu sijawahi kumwambia "Baba nakupenda" Kuna kipindi aliumwa tukasema ndio basi tena lakini sikuthubutu kusema Baba nakupenda....i just can't..!
kuna kupenda kwa aina nyingi sana sasa hapa inategemea ni kupenda kupi!!!!
Hata Mimi na umri huu sijawahi kumwambia "Baba nakupenda" Kuna kipindi aliumwa tukasema ndio basi tena lakini sikuthubutu kusema Baba nakupenda....i just can't..!
mie namwambia sana tena sanaa kwani tangu wadogo tunapokwenda shule mpaka sasa tumeshazowea,na hata watoto wangu wananambia i love u mom,nikawaida lakini inategemea mlivyo lelewa nadhani kama mmezowea...... hata rafiki yangu akiniona nam Hug baba au mama anashangaa lakini mimi namshanga yeye hata wazee wake wawembali wakija anaamkia basi....
wala sijasoma huko nimalezi nilolewa kwetu tuu. na wanavyo ishi wazazi wangu hata Dad akirudi kazini mom ana pokea mzigo with kiss ndio nilivyoona sasa ilikua shida pale nilipo olewa mume sie watu wa kiss mwanzo alikua akija nyumbani anasema mnapenda sana nyie kwenu mwaah! mwaah! lolno doupt umesoma st. mary mary, na ni ile type za dad & mum, not otherwise
hahahahahahahaaaa umenichekesha, lakini kweli unaanzaje kumwambia baba nakupenda?????
Mkuu kwanini?
Kiongozi hata sijui, labda malezi...wakati mwingine nahisi neno lipo kike sana...