Kumvua mwanamke na kumwacha sio ustaarabu

Kumvua mwanamke na kumwacha sio ustaarabu

Na hamu ya kumjua huyo manzi unayemmendea@Jembemtaji 😆😎
 
Umenena vyema waliwengi ni kujishebedua tu hawana lolote ukibahatika kula mzigo na usepe. ukiwa mwaminifu kwake umeumia!
 
Mi nadhan hii inatokana mwanaume kukuta alichokitegea sicho,maana kuna wadadawanajifanya wapo juu saana,but kwenye MECHI NI SIFURI...........:cheer2:
 
We mwanaume mwenzangu jaribu kufikiri Mara mbili kabla ya kufanya jambo hili.

Umetumia zaidi ya mwaka mmoja kuomba mahusiano kwa mwanamke(kutongoza). Alafu baada ya kumvua nguo tu basi unakata mawasiliano apoapo hauoni ni ukatili WA kijinsia au utapeli.

Kinachonishangaza zaidi watu wenye tabia hii wanabidii kwenye kutongoza kuliko wale wanatafuta mke WA kuoa.

Ingawa inawezekana ikawa si jambo zito kwa mwanaume lakini kwa mwanamke ni majeraha makubwa moyon unayomwachia.

Unamsababishia maswali mengi kichwani kwa mfano:-
1. Labda sijui mapenzi
2. Ameniona changudoa
3.shepu yangu mbaya.

Lakini kubwa zaidi ni kwamba unasababisha ugumu kwa mwanaume atakayejitokeza kwa malengo ya kutaka kumuoa. Hataweza kutofautisha muoaji na mfunuaji.

Interview inakua ndefu na na ya mda mrefu kwa mwanaume WA kweli atakapotokea, mpaka wakati mwingine mwanaume anashindwa kwa vigezo avyopewa.

Kwakwel kama hauna malengo na mtu usimpitie na kumwacha, mnatupa shida sisi waoaji.

Karibu kwa mchango wakuu.


KAMA ALIZINGUA SANA WAKATI ANATAFUTWA, BHASS NI HAKI PIA NAYE ZINGULIWE WAKATI AMEISHAPATIKANA.


kupatikana baada ya muda mrefu ni kutengeneza maumivu makali kwa mtafutaji hivyo bhass sioni taabu wala shida naye kulipiziwa tu!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom