Kumvua mwanamke na kumwacha sio ustaarabu

Kumvua mwanamke na kumwacha sio ustaarabu

Jembemtaji

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2014
Posts
1,192
Reaction score
929
We mwanaume mwenzangu jaribu kufikiri Mara mbili kabla ya kufanya jambo hili.

Umetumia zaidi ya mwaka mmoja kuomba mahusiano kwa mwanamke(kutongoza). Alafu baada ya kumvua nguo tu basi unakata mawasiliano apoapo hauoni ni ukatili WA kijinsia au utapeli.

Kinachonishangaza zaidi watu wenye tabia hii wanabidii kwenye kutongoza kuliko wale wanatafuta mke WA kuoa.

Ingawa inawezekana ikawa si jambo zito kwa mwanaume lakini kwa mwanamke ni majeraha makubwa moyon unayomwachia.

Unamsababishia maswali mengi kichwani kwa mfano:-
1. Labda sijui mapenzi
2. Ameniona changudoa
3.shepu yangu mbaya.

Lakini kubwa zaidi ni kwamba unasababisha ugumu kwa mwanaume atakayejitokeza kwa malengo ya kutaka kumuoa. Hataweza kutofautisha muoaji na mfunuaji.

Interview inakua ndefu na na ya mda mrefu kwa mwanaume WA kweli atakapotokea, mpaka wakati mwingine mwanaume anashindwa kwa vigezo avyopewa.

Kwakwel kama hauna malengo na mtu usimpitie na kumwacha, mnatupa shida sisi waoaji.

Karibu kwa mchango wakuu.
 
Tutaoa wangapi ??
Hao wanawake wataolewa na wangapi ??

Maana huo utamu wanavyogawa kama kisima cha kijiji
 
Jembemtaji nimekupata vyema nakuunga mkono kabisa. Sio tabia nzuri kuchezea hisia na akili ya mwanamke namna hiyo. Wanaume wengine wakisumbuliwa kwa kucheleweshwa sana huwa wanapopewa hatimaye wanafanya vituko vya namna hiyo eti kukomoana. Hawatambui kuwa wanawake wana wasiwasi wa kuchezewa na kutemwa kwa hiyo wanapenda kuruhusu muda wa kutosha kumpima mwanaume kama yuko serious au ni wale wa "hit and run"
 
Last edited by a moderator:
Mwanamke wa kibongo(wengi wao na sio wote) ukishamuonyesha unampenda andika umeumia ndo mana raia wema wanaona ni sahihi kabisa kusuck pu.ssy,fu.ck a pu.ssy and live it there.

And they wont give a care!
 
Wanawake ni wasaidizi wetu..yaani viburudisho. maana ya kuoa ni kwamba umeona umeishiwa hela za kugharamia vitamu umeona ukinunue kimoja moja kwa moja sasa. hujiulizi kwann wenye hela hawaoi? kwasababu kila siku wanalamba vipya kutoka kila race... mwenzangu na mimi ukifikisha age 28 au 30 ati ndo presha..."Ntaolewa na nani! my body is biologically weighing out!" hamna lolote. Watu wanaoa miaka ya 50 huko kisha kula wa njano na mweupe sasa anataka tu kuacha bloodline yake isipotee. Mens run the world. we babaika tu eti ooo! mnawatendea vbaya...kwani wankipi cha kukutisha zaidi ya tundu?
 
Unajifanya mwenye huruma ili wakukubali?? Kweli tunatofautiana kwenye kutongoza. Ushauri wangu kwa wadada, Penda usipende, bidada ukiisha kuivua pichu yako kwa huyo mwanaume, jua kuwa thamani yako kwake imepunguaaaa.
Anabaki kujiuliza, tuko wangapiiii? Mwanaume asiye na wivu, hakufai. Mpaka aone wivu ndo atavutia chuma ndani, ili akimiliki mwenyewe; kama naweza kuja na kuchovya kila ninapotaka, nagharamia nini tena? Atakaye nitingishia kidogo ndo nitakufa naye.
Samahani kwa niliye muudhi ila huyu aliyeleta uzi huu anatafuta huruma za mabibi kuwa anawatetea lakini, angalieni
 
Pole sana Mkuu inaonekana jinsi ubongo ulivyo na matundu na mawazo finyuuuuii.

Huruma ya nini nitafute duu we ni pimbi
 
We mwanaume mwenzangu jaribu kufikiri Mara mbili kabla ya kufanya jambo hili.

Umetumia zaidi ya mwaka mmoja kuomba mahusiano kwa mwanamke(kutongoza). Alafu baada ya kumvua nguo tu basi unakata mawasiliano apoapo hauoni ni ukatili WA kijinsia au utapeli.

Kinachonishangaza zaidi watu wenye tabia hii wanabidii kwenye kutongoza kuliko wale wanatafuta mke WA kuoa.

Ingawa inawezekana ikawa si jambo zito kwa mwanaume lakini kwa mwanamke ni majeraha makubwa moyon unayomwachia.

Unamsababishia maswali mengi kichwani kwa mfano:-
1. Labda sijui mapenzi
2. Ameniona changudoa
3.shepu yangu mbaya.

Lakini kubwa zaidi ni kwamba unasababisha ugumu kwa mwanaume atakayejitokeza kwa malengo ya kutaka kumuoa. Hataweza kutofautisha muoaji na mfunuaji.

Interview inakua ndefu na na ya mda mrefu kwa mwanaume WA kweli atakapotokea, mpaka wakati mwingine mwanaume anashindwa kwa vigezo avyopewa.

Kwakwel kama hauna malengo na mtu usimpitie na kumwacha, mnatupa shida sisi waoaji.

Karibu kwa mchango wakuu.

Kweli kabisa, sema mi huwa wananifunulia wenyewe, sijawahi mfunua mwanamke.
 
kijana acha kiherehere!! we unawasemea kama nani??? Wenyewe wanapenda kuchezewa ndio maana wanapanua Miguu hata watembeapo!!!
 
Na wewe mwanamke kwa nini ukubali kufunuliwa uchi wako ikiwa hakuna mkataba wa kudumu baina yako na mwanaume?

Wanaokubali kuliwa waache waachwe tu na wala kusiwe na malalamiko...

Tamu ikiwa kwenye tundu, ikitolewa walalama umetendwa...nyambaaaaf!!!
 
for sure I did the same one day baada ya kumpata manzi aliyenisumbua for 3yrs. Nilimpenda kiukweli lkn kaniudhi katika safari ya mahusiano, alikuwa na kauli za dharau, promise za uongo nk. kwa alivyo nizingua nikaona dharau kumwacha hiv hiv, then nikamfunua kidharau na kusepa!
 
Nijuavyo Mie Mwanamke Huvua Chupi Mwenyewe Na Mwanaume Naye Huvua Boxer Yake Mwenyewe Ila Kwenye Kungonoka Hungonoka Wote
 
Back
Top Bottom