Kumvua mwanamke na kumwacha sio ustaarabu

Kumvua mwanamke na kumwacha sio ustaarabu

Nijuavyo Mie Mwanamke Huvua Chupi Mwenyewe Na Mwanaume Naye Huvua Boxer Yake Mwenyewe Ila Kwenye Kungonoka Hungonoka Wote

mmmh mkuu I beg to differ... hyo ata haipo romantic, you should undress her kwa mikono yako kabisa!!!! inaongeza kastimu
 
Ndo staili yako ya kuwapata wadada wa JF? Una tusredi sredi tupo tupo tu.

Mfano moja ilisema kuingia chumvini si mchezo. Je ulimuoa??

Ingine ukauliza uhonge shing ngapi ukisha kula mzigo?

Sio kila kinachoandikwa umu basi kinamuhusu moja kwa moja mtoa mada.

Wakati mwingine tunawakilisha mawazo ya watu wengine katika jamii fahamu ivo kuanzia Leo.

Nikupongeze we ni mfuatiliaji bora WA thread zangu nitakufutia cheti na zawadi.
 
Tena shkuru sina utaalamu wa Tyta ama watu8!
 
Last edited by a moderator:
Mungu hajapanga tuoane maana kuoa na kuolewa ni mipango
 
Tatizo hivi vibinti vya siku hzi 90% micharuko kupita kiasi yaani waru waru havijatulia kama demu wa kingwendu. Ukiwa nacho chataka kuamua chenyewe mahusiano yawe vipi, siki mbili tu maneno pepepepepepepepe hadi kero, sasa nani anataka stress ndugu yangu? Tutawamega tu na kuwaacha watashtuka wenyewe umri ukianza kuwasaliti. Dume unaweza ukaoa hata ukiwa na 40 yrs na maisha yakasonga frsh tu.
 
Eti unatongoza mwaka mzima?We huoni kama alikuwa akikunyanyasa kisaikolojia?Mwaka unafuatilia demu!

Mtoto wa kakaangu yupo chuo SUA,kala fedha ya ada ya mwaka mzima!.Pesa zimetumika kumgharamia mtoto wa kike.

Hao wanawake wanawaumiza wanaume pia
 
Mwanamke wa kibongo(wengi wao na sio wote) ukishamuonyesha unampenda andika umeumia ndo mana raia wema wanaona ni sahihi kabisa kusuck pu.ssy,fu.ck a pu.ssy and live it there.

And they wont give a care!

Duh! Wewe ni nouma, wewe ni sheedah, na wewe ni tatizooo! Yet u dont care...
 
Kuna dem alikuwa anaringa ringa... Nikampotezea. Sasa hivi anahangaikaje? Haiwezekani uwe unamuimbisha mtu mwaka mzima bila matunda...
 
Na wewe mwanamke kwa nini ukubali kufunuliwa uchi wako ikiwa hakuna mkataba wa kudumu baina yako na mwanaume?

Wanaokubali kuliwa waache waachwe tu na wala kusiwe na malalamiko...

Tamu ikiwa kwenye tundu, ikitolewa walalama umetendwa...nyambaaaaf!!!

shkamoo baba mkwe
 
Ndo staili yako ya kuwapata wadada wa JF? Una tusredi sredi tupo tupo tu.

Mfano moja ilisema kuingia chumvini si mchezo. Je ulimuoa??

Ingine ukauliza uhonge shing ngapi ukisha kula mzigo?

kumbe umeshakashtukia haka kajamaa???
Kuna watu wanajua kupave way
 
Kajinga kweli!

Afu ukute wa kumzimikia na hizi naive strategies hawakosekani.

Wajinga wazazi wako wasiojua malezi sahihi ya mtoto, wakakuacha kua chokoraaaaa kwenye mitandao ya kijamii.

Walizani kulea ni kupika uji WA ulezi tu na kukunywesha badala ya kukuelekeza namna ya kueshimu wanaume.
 
kumbe umeshakashtukia haka kajamaa???
Kuna watu wanajua kupave way

Nyie wanawake Hamna jema ikitokea thread ya kuwasema vibaya mnalalama mnataka kusususia JF. Ikitokea thread ya kuwatetea mnasema tunawataka.

Sina mpango WA kutongoza watu humu.
Ukweli wanawake utakaokutananao APA wengi wamechoka na hawanasoko kitaa kama wewe.
 
Wajinga wazazi wako wasiojua malezi sahihi ya mtoto, wakakuacha kua chokoraaaaa kwenye mitandao ya kijamii.

Walizani kulea ni kupika uji WA ulezi tu na kukunywesha badala ya kukuelekeza namna ya kueshimu wanaume.

Ukiona imekuuma jua inakuhusu. Hahaaa. Pole.
 
Nyie wanawake Hamna jema ikitokea thread ya kuwasema vibaya mnalalama mnataka kusususia JF. Ikitokea thread ya kuwatetea mnasema tunawataka.

Sina mpango WA kutongoza watu humu.
Ukweli wanawake utakaokutananao APA wengi wamechoka na hawanasoko kitaa kama wewe.

Huyo si demu, ukikaa vibaya anakukata.
 
Back
Top Bottom