Unampaje nafasi ya kupewa pesa ba ki-boyfriend chake haliyakuwa wew mzazi upo ?Na nyie hamna Plan B
Umewahi kuangalia background ya huyo anaekuomba hio pesa, wakati mwingine ni kukwama tu sio kwamba wanapenda, maana hio pesa mpaka uipate ushanyanyasika sana
Akiomba pesa ya saloon mletee gunia la mkaa/au mtumba auze faida akasuke ,usishupalie tu kuwa tunadidimia kifikra umewahi kujiuliza utanyanyuaje hizo fikra? Au jibu ni kumuacha kwakua ana fikra zilizodidimia.
Wanaume msisahau mtazaa watoto wa kike na baada ya miaka 20 ijayo mtayashuhudia haya mkiwa kama wazazi jinsi watoto wenu watakavyokua wamedidimia kifikra maana hamkufanya lolote kuzibadili hizo fikra zilizojengeka kwenye jamii ya sasa hivi, kwahiyo maji yatafata mkondo binti zetu watapita humo humo kama na nyinyi hamtabadilisha mitazamo yenu
nitamuacha aende,Una mawazo mazuri mkuu ila sasa,kama kweli ni kifaa....utamnyima wewe hela akitoka nje anaongwa gari....ndio ile mtu unabaki unalia lia.Sisi wanaume tumeumbwa kutamani na tunatumia nguvu ya ziada kufanikisha kukipata kile tulichokitamani.
I love U MamilooxNa nyie hamna Plan B
Umewahi kuangalia background ya huyo anaekuomba hio pesa, wakati mwingine ni kukwama tu sio kwamba wanapenda, maana hio pesa mpaka uipate ushanyanyasika sana
Akiomba pesa ya saloon mletee gunia la mkaa/au mtumba auze faida akasuke ,usishupalie tu kuwa tunadidimia kifikra umewahi kujiuliza utanyanyuaje hizo fikra? Au jibu ni kumuacha kwakua ana fikra zilizodidimia.
Wanaume msisahau mtazaa watoto wa kike na baada ya miaka 20 ijayo mtayashuhudia haya mkiwa kama wazazi jinsi watoto wenu watakavyokua wamedidimia kifikra maana hamkufanya lolote kuzibadili hizo fikra zilizojengeka kwenye jamii ya sasa hivi, kwahiyo maji yatafata mkondo binti zetu watapita humo humo kama na nyinyi hamtabadilisha mitazamo yenu
wabahili utawajua tunitamuacha aende,
hii ndio inapelekea wanawake kusema ;
- "mimi nataka kuolewa na mwanaume mwenye gari "
- " mimi mpaka awe na kazi nzuri"
-"mimi nataka mwanaume mwenye nyumba yake, sitaki nyumba ya kupanga"
Inamaana hawa wanawake wote shule walikuwa wanaenda kama watumwa ?