Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,139
- 12,284
Kwenye kamusi ya kiswahili hatuna neno kuonga...jifunze sarufi vizuri!Ndug zangu,
Nimefanya utafiti nimegundua kuwa asilimia 80% ya wanawake hutegemea pesa za wanaume.
Wengi wao hawana mtazamo wa kutafuta njia mbadala ya kutafuta pesa zaidi ya kukwambia " bby naomba hela ya saloon", hawezi tena kufikia njia nyingne ya kupata pesa kwa sababu tumewafanya wanapenda a neno [.
Ushauri
kama una mwanamke wenye tabia hiyo jitahidi umrudishe katika fikra za kujitafutia na kama hawezi achana nae, tusipende kuwapa hela waacheni wajishughulishe.
Yangu ni hayo, Ahsanteni.