Kumuonga mwanamke ni kumdidimiza kifkira

H sanny

JF-Expert Member
May 25, 2018
245
298
Ndug zangu,

Nimefanya utafiti nimegundua kuwa asilimia 80% ya wanawake hutegemea pesa za wanaume.
Wengi wao hawana mtazamo wa kutafuta njia mbadala ya kutafuta pesa zaidi ya kukwambia " bby naomba hela ya saloon", hawezi tena kufikia njia nyingne ya kupata pesa kwa sababu tumewafanya wanapenda shortcut.
Ushauri
kama una mwanamke wenye tabia hiyo jitahidi umrudishe katika fikra za kujitafutia na kama hawezi achana nae, tusipende kuwapa hela waacheni wajishughulishe.

Yangu ni hayo, Ahsanteni.
 
Mwanamke kaumbwa kupokea mkuu na wewe umeumbwa kutoa ......papuchi ipo kwa ndani na mashine na vifuko vyake vyote vipo nje kwa maumbile jifunzeni ila kuonga kupita kiasi ni khatari kwa uchumi wako
 
Na nyie hamna Plan B
Umewahi kuangalia background ya huyo anaekuomba hio pesa, wakati mwingine ni kukwama tu sio kwamba wanapenda, maana hio pesa mpaka uipate ushanyanyasika sana
Akiomba pesa ya saloon mletee gunia la mkaa/au mtumba auze faida akasuke ,usishupalie tu kuwa tunadidimia kifikra umewahi kujiuliza utanyanyuaje hizo fikra? Au jibu ni kumuacha kwakua ana fikra zilizodidimia.
Wanaume msisahau mtazaa watoto wa kike na baada ya miaka 20 ijayo mtayashuhudia haya mkiwa kama wazazi jinsi watoto wenu watakavyokua wamedidimia kifikra maana hamkufanya lolote kuzibadili hizo fikra zilizojengeka kwenye jamii ya sasa hivi, kwahiyo maji yatafata mkondo binti zetu watapita humo humo kama na nyinyi hamtabadilisha mitazamo yenu
 
Unampaje nafasi ya kupewa pesa ba ki-boyfriend chake haliyakuwa wew mzazi upo ?
huko n kutokukaa na watoto vzur kuyajua mapungufu yake.
 
Una mawazo mazuri mkuu ila sasa,kama kweli ni kifaa....utamnyima wewe hela akitoka nje anaongwa gari....ndio ile mtu unabaki unalia lia.Sisi wanaume tumeumbwa kutamani na tunatumia nguvu ya ziada kufanikisha kukipata kile tulichokitamani.
 
Hivi ulijiuliza ule msemo 'wanaume tumeumbwa mateso' walimaanisha nini. Kalagabao!
 
Ndo yale yale ya kama yule wa jana alieleza uzi ukiona mwanamke amekimbia ndoa ujue imefika hadi wapi..mtu anafanya kazi na hela anapata haijalishi kazi ni temporary au ni permanent inaliowa kwa wiki au kwa mwezi ila anaona uchungu kununua nguo zake, kulipa kodi ya anapokaa mwenyewe, kulipa ada yani anasikia uchungu sana
 
Acha hiyo altitude nilipoteza hadi soulmate wangu, hakuwahi kuomba hela hadi nimpe mwenyewe so sometime nkawa naona kitonga acha niteleze ila siku nasomewa hukumu nasikia hukua unanijali but how tulikua na so romantic kumne kumjali ni kumpa hela!!!
 
mwanamke wa miaka 18-25 unaomba pesa kwa mwanaume hali ya kuwa bado unaishi na wazazi.
unahisi hii ni sawa kwel ?
humu ndani weng tunaendea kuwa wazazi halafu tuna-support huu upuuzi kwel
 
Una mawazo mazuri mkuu ila sasa,kama kweli ni kifaa....utamnyima wewe hela akitoka nje anaongwa gari....ndio ile mtu unabaki unalia lia.Sisi wanaume tumeumbwa kutamani na tunatumia nguvu ya ziada kufanikisha kukipata kile tulichokitamani.
nitamuacha aende,
hii ndio inapelekea wanawake kusema ;
- "mimi nataka kuolewa na mwanaume mwenye gari "
- " mimi mpaka awe na kazi nzuri"
-"mimi nataka mwanaume mwenye nyumba yake, sitaki nyumba ya kupanga"

Inamaana hawa wanawake wote shule walikuwa wanaenda kama watumwa ?
 
Na nyie hamna Plan B
Umewahi kuangalia background ya huyo anaekuomba hio pesa, wakati mwingine ni kukwama tu sio kwamba wanapenda, maana hio pesa mpaka uipate ushanyanyasika sana
Akiomba pesa ya saloon mletee gunia la mkaa/au mtumba auze faida akasuke ,usishupalie tu kuwa tunadidimia kifikra umewahi kujiuliza utanyanyuaje hizo fikra? Au jibu ni kumuacha kwakua ana fikra zilizodidimia.
Wanaume msisahau mtazaa watoto wa kike na baada ya miaka 20 ijayo mtayashuhudia haya mkiwa kama wazazi jinsi watoto wenu watakavyokua wamedidimia kifikra maana hamkufanya lolote kuzibadili hizo fikra zilizojengeka kwenye jamii ya sasa hivi, kwahiyo maji yatafata mkondo binti zetu watapita humo humo kama na nyinyi hamtabadilisha mitazamo yenu
I love U Mamiloox
 
nitamuacha aende,
hii ndio inapelekea wanawake kusema ;
- "mimi nataka kuolewa na mwanaume mwenye gari "
- " mimi mpaka awe na kazi nzuri"
-"mimi nataka mwanaume mwenye nyumba yake, sitaki nyumba ya kupanga"

Inamaana hawa wanawake wote shule walikuwa wanaenda kama watumwa ?
wabahili utawajua tu
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom