H sanny
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 245
- 298
Ndug zangu,
Nimefanya utafiti nimegundua kuwa asilimia 80% ya wanawake hutegemea pesa za wanaume.
Wengi wao hawana mtazamo wa kutafuta njia mbadala ya kutafuta pesa zaidi ya kukwambia " bby naomba hela ya saloon", hawezi tena kufikia njia nyingne ya kupata pesa kwa sababu tumewafanya wanapenda shortcut.
Ushauri
kama una mwanamke wenye tabia hiyo jitahidi umrudishe katika fikra za kujitafutia na kama hawezi achana nae, tusipende kuwapa hela waacheni wajishughulishe.
Yangu ni hayo, Ahsanteni.