Kumuharibu mtoto wa kike kukoje?

Kumuharibu mtoto wa kike kukoje?

Pafyum

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2012
Posts
211
Reaction score
113
Poleni na Majukumu ya ujenzi wa Taifa wakuu

Nimeskia katika kipindi cha Heka heka cha clouds FM kuwa kuna kijana mwenye umri wa Miaka 18 mwanafunzi wa kidato cha sita alikuwa na rafiki yake wa kike aliyekuwa anasoma kidato cha nne (umri haujatajwa) ambae walikuwa wanachat meseji za mapenzi na za matusi ambazo wao walifurahia (haijulikan kama walikuwa wapenz). Kumbe yule mtoto wa kike ni binti wa Askari magereza wa keko.

Baba wa binti alichukua simu ya bint yake na kukuta meseji za binti yake zikamuuma sna akaamua kutega mtego ambapo alichukua simu ya binti yake na kuanza kuchat na yule kijana. Baba mtu alijifanya yeye ndo dem akambembeleza kijana aende nyumban kwao siku ya jumapili et mama yake bint hatakuwepo. Kijana aligoma kwenda but yule mding alizid kumbembeleza sana kwa kutumia simu ya binti yake na huku kijana akijua anachat na mchuchu,

Siku ya jumapili kijana alilainika akaamua kwenda, but kila akifika sehem anaambia aingie ndan kabsa ya get la magereza.
Alipofika ndan ndipo babake na binti akajotokeza hku akiwa na askal mwenzake wakamkamata kijana na kumpeleka ndani. Dogo alipewa kichapo cha mbwa mwizi akituhumiwa KUMUHARIBU binti wa Afande. Kijana kachapwa sna na kaumia vibaya sna had haweza kukaa na amepasuka mkono.

Inavoonekana wamekuwa wakichat kwa muda mrefu sna na baadhi ya mesej za binti alizokuwa anamtumia kijana zimesomwa radion zikionyesha kuwa alikuwa willing na alikuwa anampenda Kijana.

Swali langu naomba kujua, kumuharibu binti ni kupi? mbona ishu inachululiwa kama mwanaume ndo muharibifu tu wakt maranyingne wanawake nao ni waharibifu? Mfano binti anapomtongoza mvulana, akikubali baadae wakaachana inaonekana kijana ndo anamchezea msichana. Kwann inakuwa hiv?
 
nimekwama kwenye ku-mention id yako, nitaishia hapa ingawa nina hoja ya kuchangia.
 
ukiangalia hapo kijana ni F6 binti F4......TAYARI INATOSHA KUPATA MUONGOZO WA NANI ANAMHAROBU MWENZAKE
 
Poleni na Majukumu ya ujenzi wa Taifa wakuu

Nimeskia katika kipindi cha Heka heka cha clouds FM kuwa kuna kijana mwenye umri wa Miaka 18 mwanafunzi wa kidato cha sita alikuwa na rafiki yake wa kike aliyekuwa anasoma kidato cha nne (umri haujatajwa) ambae walikuwa wanachat meseji za mapenzi na za matusi ambazo wao walifurahia (haijulikan kama walikuwa wapenz). Kumbe yule mtoto wa kike ni binti wa Askari magereza wa keko.

Baba wa binti alichukua simu ya bint yake na kukuta meseji za binti yake zikamuuma sna akaamua kutega mtego ambapo alichukua simu ya binti yake na kuanza kuchat na yule kijana. Baba mtu alijifanya yeye ndo dem akambembeleza kijana aende nyumban kwao siku ya jumapili et mama yake bint hatakuwepo. Kijana aligoma kwenda but yule mding alizid kumbembeleza sana kwa kutumia simu ya binti yake na huku kijana akijua anachat na mchuchu,

Siku ya jumapili kijana alilainika akaamua kwenda, but kila akifika sehem anaambia aingie ndan kabsa ya get la magereza.
Alipofika ndan ndipo babake na binti akajotokeza hku akiwa na askal mwenzake wakamkamata kijana na kumpeleka ndani. Dogo alipewa kichapo cha mbwa mwizi akituhumiwa KUMUHARIBU binti wa Afande. Kijana kachapwa sna na kaumia vibaya sna had haweza kukaa na amepasuka mkono.

Inavoonekana wamekuwa wakichat kwa muda mrefu sna na baadhi ya mesej za binti alizokuwa anamtumia kijana zimesomwa radion zikionyesha kuwa alikuwa willing na alikuwa anampenda Kijana.

Swali langu naomba kujua, kumuharibu binti ni kupi? mbona ishu inachululiwa kama mwanaume ndo muharibifu tu wakt maranyingne wanawake nao ni waharibifu? Mfano binti anapomtongoza mvulana, akikubali baadae wakaachana inaonekana kijana ndo anamchezea msichana. Kwann inakuwa hiv?

ukiangalia hiyo red, utaona kuwa hakuna kuharibiwa hapo coz neno tu linaonesha
 
Ndio mfumo uke ulivyo, lazima mwanamke adeke!
 
Back
Top Bottom