Kumuamini Mungu lazima uwe na dini za wageni?

Imagine Kama mwarabu asingekuja Africa mpaka miaka hii. Tusingekuwa na mwingiliano nao.ungepata wapi huo muda wa kuifahamu. Na je uko huko kisa umezaliwa ukakuta wazazi wanaenda huko ukaanza kushindiliwa ubongoni mpaka yakaota
Nazishangaa Sana fikra zako! Asingekuja Africa? Kwanini ufikiri kuwa asingekuja!? Basi ndo alikuja na ktk kuja kwako ndipo tukapata habari za uislam, na ktk dunia hii ya maendeleo ya kiteknolojia hata Kama asingekuja ningesikia habari ktk vyombo mbalimbali vya mawasiliano . Si wote walioingia ktk uislam ilikua Ni matokeo ya kutembelewa au kutawaliwa na waarabu, binaadam anatabia ya kujifunza na kutafuta habari . Pia nikutoe wasiwasi, japo nimezaliwa ktk uislam ndio! Lakini baada ya kukua nilipata nafasi ya kuwa huru kuchagua muelekeo wa maisha yangu kidini, kisiasa na kiuchumi, ktk kuisoma dini hii nikapata uhakika kuwa sijapotea njia kuzaliwa ktk dini hii, Ni dini ya kweli na Haki, kwani wangapi hawakuzaliwa ktk dini ya uislam na baada ya kujua ukweli wakaamua kuingia ktk uislamu? Ni wengi tu, I am very confident kusema kuwa I am in a right track and sijawa brain washed ata kidogo, just read Islam and come back again to argue with me. Najua ukiusoma utaona kitu ambacho Mimi nimekiona.
 
I believe God exists, Saturn exists too, neither In christianity, judaism nor Islam, hinduism God exists anywhere else,

Kikubwa kujitambua, kikubwa utu na ubinadam,,,
Agreed [emoji817][emoji110][emoji110]
 
Nazishangaa Sana fikra zako! Asingekuja Africa? Kwanini ufikiri kuwa asingekuja!? Basi ndo alikuja na ktk kuja kwako ndipo tukapata habari za uislam, na ktk dunia hii ya maendeleo ya kiteknolojia hata Kama asingekuja ningesikia habari ktk vyombo mbalimbali vya mawasiliano . Si wote walioingia ktk uislam ilikua Ni matokeo ya kutembelewa au kutawaliwa na waarabu, binaadam anatabia ya kujifunza na kutafuta habari . Pia nikutoe wasiwasi, japo nimezaliwa ktk uislam ndio! Lakini baada ya kukua nilipata nafasi ya kuwa huru kuchagua muelekeo wa maisha yangu kidini, kisiasa na kiuchumi, ktk kuisoma dini hii nikapata uhakika kuwa sijapotea njia kuzaliwa ktk dini hii, Ni dini ya kweli na Haki, kwani wangapi hawakuzaliwa ktk dini ya uislam na baada ya kujua ukweli wakaamua kuingia ktk uislamu? Ni wengi tu, I am very confident kusema kuwa I am in a right track and sijawa brain washed ata kidogo, just read Islam and come back again to argue with me. Najua ukiusoma utaona kitu ambacho Mimi nimekiona.
Kumbuka sio kuwa huko ndio tiketi pekee ya kuikwaa pepo. Wenye dini za kiafrica na sie tutaiona mbingu mkuu.
Siamini mpaka nibadili jina langu na kuitwa jina la kichina kijapan kihindi kizungu kiarabu eti ndiyo yatakayoiona mbingu.

Hata Kama ulitafuta mwanga pengine ukauona kuwa hapo ulipo ndipo sahihi. Tayari ulikuwa umeshajeruhiwa mkuu kwenye akili yako ulikuwa una kidonda Kama binti akatolewa bikraa hawezi msahau aliyemtoa. Kila kitu ulikuwa unafanya comparisons.
Right track sio lazima uongee lugha yao ama uvae mavazi yao mkuu ndipo kwenye right track.
Yaani waafrika we've millions years to go. Mie sijioni kujiita kwa jina lenye asili ya afrika Bali liwe limekuja na meli ama jahazi ndo najiona Kama nimestaarabika eti. Chakula kiwe kimepikwa style ya kichina ama kiitaliano mpaka niongee lugha yao ndo namie nijione mweupe Kama wao ndo nimekuwa civilized.
 
Sasa niletee maandiko yako hayo ya kiafrica ambayo ndani yake Mungu amekuahidi kuiona pepo yake kupitia hiyo dini yako ya kiafrica, ukiniletea hayo maandiko hapa naahidi kuifuata hiyo dini yako ya kiafrica

Ulevi wa dini umekujaa.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa niletee maandiko yako hayo ya kiafrica ambayo ndani yake Mungu amekuahidi kuiona pepo yake kupitia hiyo dini yako ya kiafrica, ukiniletea hayo maandiko hapa naahidi kuifuata hiyo dini yako ya kiafrica
Hebu Rudi nyuma kwa miaka 1000 ulizia asili yako na dini watu walikuwa Wana dini gani jamani
 
Habari za leo ndugu jamaa na marafiki.

Naomba ufahamu zaidi kwamba

Unafikiri utaratibu wa kuabudu waliotuleta wakoloni ni sahihi?

Ushajiuliza kama wasingetutawala ingekuaje?

Ushajiuliza kama wangetutawala wachina au wahindi tungekuwa Wabudha au Wakrishna?

Waafrka wanatakiwa kumwamini Mungu kwa utaratibu upi? Wa Waarabu au Wazungu?

Mwisho kumuamini Mungu lazima uwe na dini za wageni?

Naomba kuwasiliana.

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Swali labda lianzie hapa kipi kilianza? Dini au Wazungu/waarabu?

Na pili je? Wazungu/waarabu walianzisha Dini ili kumtawala Mwafrika au Waliitumia Dini kumtawala Mwafrika?

NYONGEZA
Waafrika sio Bara pekee lililo tawaliwa.

Labda ni hivi MUINGEREZA ALIMTAWALA MMAREKANI pia.
 
Mimi dini yangu ya kiislam haijaletwa na Mzungu Wala Muarabu, Ni dini ya Mwenyezi Mungu, nimetambua Hilo baada ya kuisoma Quraan, yaliyomo humo hakuna binaadam anaeweza kuyaandika na kuyaweka humo.
Uislamu Tanzania uliletwa na waarabu kipindi cha biashara ya utumwa. Waafrica Wana dini zao Ila basi sema tuu ni muislam kwasababu umezaliwa kwenye dini ya uislamu ya kurithi. Wazazi wako walikuepo ni waislamu na wewe umerithi
 
Dini zao la mwanadamu. Na sio lazima uwe Muislam ndio umjue Mungu. Ndio maana kuna wakristo nao wanamjua Mungu kwa mtazamo wao. Hapa unapata jibu moja, dini ni njia alizotunga mwanadamu ili kumtengeneza au kumuwasilisha Mungu. Kuthibitisha haya, soma dini zote, kila mmoja inakuambia iko sahihi na nyingine ni ubatili.

Maswali ya kujiuliza dunia ina miaka zaidi ya bilioni, kwanini hizi Quran na injili hazina hata miaka ef 10? Kipindi cha kabla ina maana Mungu hakujua haja ya kuwapa dini? Kwanini hakutoa tu Muongozo mmoja tu toka awali alipomuumba mwanadamu? Kwanini miongozo yake imekuwa ikibadilika? Hii haileti jibu kuwa 'Mungu ni sisi ndio tunamuumba' kwa mazingira na nyakati zetu na tunaita dini?
 
Maa Shaa Allah
Mtoto akizaliwa kwenye Dini ya wazazi wake hana dhambi,na hata akifa anaenda peponi,Zambi anaanza kuhesabiwa pale anapobalehe sasa ndipo penye uamuzi aendelee kufuata Dini ya wazazi wake,au aachane nayo afuate Dini ya ya kweli. Ndiyo maana sisi wengine tumezaliwa kwenye ukristo tukapata sakrament zote lakini baada ya kujitambua tumejikabidhisha kwa Allah
 
Ningekataa uwepo wa Mungu ikiwa tu labda dunia nzima ingekuwepo imani moja ya kuamini kuwa Yesu ni Mungu
Hakika hapo ningekataa dini kabisa kwakua ningehitaji kujua je kabla ya kuzaliwa kwake hakukua na Mungu duniani?
 
Hebu Rudi nyuma kwa miaka 1000 ulizia asili yako na dini watu walikuwa Wana dini gani jamani
Ndugu kweli wewe upo gizani, si mfuatiliaji wa Mambo na unataka kubishana, kwa taarifa yako, kwa kalenda ya Kiislam Leo Ni tareh 20 ramadhani, mwaka 1442 tokea mtume Muhammad (Peace and blessings be upon him) ahamie Madina kutokea Makka..yaani sisi waislam toka Harakati za Mtume Muhammad kuanza kutangaziwa uislam Ni zaidi ya miaka 1442 mpaka Leo hii, Sasa unaongelea miaka 1000 ipi ? Kaa usome ndipo uje na hoja
 
Naona umemeza mkuu huyumbishwi. Haya Rudi nyuma miaka alfu kumi Tena kabla ya hapo ulizia history.
Ila hayo umesoma kwenye vitabu waarabu walivyokuletea na kukuaminsha kuwa lazima uvae mavazi yao na huku yanaendana na weather ya kwao
 
Naona nawe unahangaika miaka, Sasa nakupa solution ya tatizo lako, mtafute muislam ktk eneo lako mwenye elim ya dini akufundishe juu ya evolution ya dini tokea kuumbwa iwa Adam na Hawa, nenda kwa lengo la kujifunza tu, huwezi ouwa muislam kwa kusikiliza tu so usipate was I, ukifunzwa then nitafute Tena humu tubadilishane mawazo, ktk uislamu hakuna swali linalokosa jibu, all the best
Naona umemeza mkuu huyumbishwi. Haya Rudi nyuma miaka alfu kumi Tena kabla ya hapo ulizia history.
Ila hayo umesoma kwenye vitabu waarabu walivyokuletea na kukuaminsha kuwa lazima uvae mavazi yao na huku yanaendana na weather ya kwao
 
Binafsi naamini uwepo wa Mungu pasi yakufungamana na dini.
Hili huwezi kulithibitisha na utakuwa muongo huwezi kuamini uwepo wa Mola nje ya dini.

Hili nakupa kazi ulithibitishe,ukiweza naacha kujadilo hili. Jambo linalowezekana ni kuwa kila kiumbe aliumbwa na hali ya kumkubali Mola pindi akiletewa habari na kukiri ya kuwa Mola ndiyo muumba na ndito muendeshaji wa huu ulimwengu.
 
Back
Top Bottom