Kumuamini Mungu lazima uwe na dini za wageni?

Kumuamini Mungu lazima uwe na dini za wageni?

Safi kabisa nipo hapa kukuthibitishia ya kuwa wewe ni muongo kwa kauli na matendo yaani unachokisema huishi nacho na hakipo.

Unaweza kuniambia ni hadithi zipi hizo na ngano zipi,na umejuaje kama hizo ni hadithi na ngano. Ukianza kwa kunipa maana ya Hadithi na maana ya ngano utakuwa umefanya la maana sana.

Ila hilo weka akilini,wenzako hasa huyu Kiranga huwa anadai ya kuwa habari za dini ni hadithi tu za kutungwa,ukimuomba ushahidi anakimbia,yaani anaandika mambo asiyo kuwa na ujuzi nayo,sasa huwa nawaambia hivi,hata kama nyinyi si watu wa elimu na si wasomi wa mambo haya,basi mjitahidi sana kuyapa stahiki zake maneno,yaani mjue maana ya maneno fulani kabla hamjayatumia. Hili swali bila shaka litakushinda.

Subiri uone.
Bw. Jurjani una-twist maneno na mithali. Umekalia kuandika muongo na uongo pasi ya kujibu hoja andikwa, na unaanza kuongeza masuala ambayo hayakuwa katika majawabu.

Hapa ni wazi umeanza kusema uongo pasi ya kujibu hoja, ukileta habari za Kiranga ambazo hazikuwa katika hoja huku ukihitaji mimi kujibu.

Bw. Jurjani kwa miaka kadhaa niliyokuwa katika dini zaliwa ya İslam niligundua mengi ya kale ambayo ni hadithi, ngano na story za kutungwa kuitukuza mizimu ya Mashariki ya Kati.

Ithibati the so called maandiko yakieleza enyi enyi enyi! Kuwa yameteremshwa yanaonesha wazi utengano kuliko muungano hili linazua hoja Mungu anayelezwa katika hizo siasa za kale mbona anajipinga katika vyama tofauti?

Hivyo vyama vyote hudai ni sahihi huku ikionekana kila chama kina vutia kwa Mungu wake! Je ni products zipi za hao Mungu wa vyama tofauti zinathibitika?

Bw. Jurjani nikukumbushe nakupatia muongozo tu lakini utambue sifungamani na pande yoyote na siamini katika siasa za kale, utumwa na kusanyiko la wanafiki na watu dhaifu.
 
Walokole uchwara hawajafika ? a.ka wajasilia dini , mujahideen fid sabililai naona wameshafika kutete a received belief instead of local belief . Kumuamini Mungu sio lazima ufuate dini za kigeni , wao waarabu na wazungu walilazimisha hivyo na kuiksndia Sana dini za kiafrika ili wapate wafuasi , unafikiri wangesema dini za kiafrika ziko sahihi nani angejiunga na dini zao za kimapokeo na juacha dini zetu za asili na Kuanza kumsalia Mungu wa uarabuni na uzunguni huku ukiwa wewe sio mwarabu Wala mzungu na huyo Mungu wa uarabuni na uzunguni hakujui wala , unawdom ea wao tu kwa Mungu wao inshort .
 
Habari za leo ndugu jamaa na marafiki.

Naomba ufahamu zaidi kwamba

Unafikiri utaratibu wa kuabudu waliotuleta wakoloni ni sahihi?

Ushajiuliza kama wasingetutawala ingekuaje?

Ushajiuliza kama wangetutawala wachina au wahindi tungekuwa Wabudha au Wakrishna?

Waafrka wanatakiwa kumwamini Mungu kwa utaratibu upi? Wa Waarabu au Wazungu?

Mwisho kumuamini Mungu lazima uwe na dini za wageni?

Naomba kuwasiliana.
Dhana ya kuamini kati Mungu siyo mpya Afrika mpya ni dini nyemelezi na za kikoloni. Neno Mungu ni la kibantu tofauti na dini, imani, shetani na majanga mengine. Hivyo, kuamini katika Mungu si tegemezi kwenye dini nyemelezi.
 
Mungu amewaumbia Wanadamu na dini moja tu amabayo ni Uisilamu. Uisilamu ni kitendo au imani yaani kujikabidhisha kwa Mwenyezi Mungu,yaani wewe ukijikabidhisha kwa Mwenyezi Mungu unaitwa MUISILAMU
Hoja yako mbona dhaifu sana!
 
Bw. Jurjani una-twist maneno na mithali. Umekalia kuandika muongo na uongo pasi ya kujibu hoja andikwa, na unaanza kuongeza masuala ambayo hayakuwa katika majawabu.

Hapa ni wazi umeanza kusema uongo pasi ya kujibu hoja, ukileta habari za Kiranga ambazo hazikuwa katika hoja huku ukihitaji mimi kujibu.

Bw. Jurjani kwa miaka kadhaa niliyokuwa katika dini zaliwa ya İslam niligundua mengi ya kale ambayo ni hadithi, ngano na story za kutungwa kuitukuza mizimu ya Mashariki ya Kati.

Ithibati the so called maandiko yakieleza enyi enyi enyi! Kuwa yameteremshwa yanaonesha wazi utengano kuliko muungano hili linazua hoja Mungu anayelezwa katika hizo siasa za kale mbona anajipinga katika vyama tofauti?

Hivyo vyama vyote hudai ni sahihi huku ikionekana kila chama kina vutia kwa Mungu wake! Je ni products zipi za hao Mungu wa vyama tofauti zinathibitika?

Bw. Jurjani nikukumbushe nakupatia muongozo tu lakini utambue sifungamani na pande yoyote na siamini katika siasa za kale, utumwa na kusanyiko la wanafiki na watu dhaifu.
Quran imeandika kwamba, kuna watu ambao Allah kawaambia Waislamu hata wasishughulike nao hawa watu.

Kwa sababu hawa Allah mwenyewe kaifunga mioyo yao, kawaziba kwa pazia masikio na macho yao.

Na hawa watapata hukumu kali. Kwa kutomjua Allah.

Sasa Allah kawaziba macho na masikio, kafanya mioyo yao iwe migumu kumjua.

Halafu atawahukumu kwa kutomjua?

Huu ndio ujinga Waislamu wanaouamini kwamba ni maneno ya Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote kutoka kwenye Quran.

Na Biblia nayo ina mistari kama hiyo mingi tu

Al-Baqarah 2-6

Sahih International
Indeed, those who disbelieve - it is all the same for them whether you warn them or do not warn them - they will not believe.

Al-Baqarah 2-7
Sahih International
Allah has set a seal upon their hearts and upon their hearing, and over their vision is a veil. And for them is a great punishment.
 
Najiuliza kwanini ujibu hoja yangu ? Umedai kwamba hizi hadithi na ngano. Ngano tunazijua na hadithi kadhalika.

Nimejibu hoja ila unakimbia maswali yangu. Kuhusu Kiranga sijatoka nje ya mada sababu swali hili huwa wanauliza sana lakini huwa hawana ithibati.

Andiko lenye tamko "enyi" lina ungano gani ?
 
Hapana kumuamini Mungu haiitaji kuwa na dini. Kipimo cha kumuamini Mungu ni kutoka katika roho na uelewa wa nafsi kuamini at first na siyo propaganda, vitisho, utengano, unafiki na kejeli.
Mungu yukoje ana sifa gani? Tumemjuaje? Yapi mahusiano kati yetu na yeye?

Hayo ni maswali ambayo kinachoitwa dini(unaweza kuita vyovyote vile) huyajibu hayo maswali.
 
Imagine Kama mwarabu asingekuja Africa mpaka miaka hii. Tusingekuwa na mwingiliano nao.ungepata wapi huo muda wa kuifahamu. Na je uko huko kisa umezaliwa ukakuta wazazi wanaenda huko ukaanza kushindiliwa ubongoni mpaka yakaota
Hiyo ni sawa na imani ya kumini Mungu ni jambo ambalo tunajifunzia kwenye jamii iliyotuzunguka, na watu hatuzaliwi na hiyo imani ya kuamini kuwepo Mungu ila ni imani iliyosambaa kila pande ya dunia. Je, ni wapi ilianzia hii imani na ilisambaa vp ulimwenguni?
 
Kumbuka sio kuwa huko ndio tiketi pekee ya kuikwaa pepo. Wenye dini za kiafrica na sie tutaiona mbingu mkuu.
Siamini mpaka nibadili jina langu na kuitwa jina la kichina kijapan kihindi kizungu kiarabu eti ndiyo yatakayoiona mbingu.

Hata Kama ulitafuta mwanga pengine ukauona kuwa hapo ulipo ndipo sahihi. Tayari ulikuwa umeshajeruhiwa mkuu kwenye akili yako ulikuwa una kidonda Kama binti akatolewa bikraa hawezi msahau aliyemtoa. Kila kitu ulikuwa unafanya comparisons.
Right track sio lazima uongee lugha yao ama uvae mavazi yao mkuu ndipo kwenye right track.
Yaani waafrika we've millions years to go. Mie sijioni kujiita kwa jina lenye asili ya afrika Bali liwe limekuja na meli ama jahazi ndo najiona Kama nimestaarabika eti. Chakula kiwe kimepikwa style ya kichina ama kiitaliano mpaka niongee lugha yao ndo namie nijione mweupe Kama wao ndo nimekuwa civilized.
Unaweza kusema kitu fulani ni asili yako kwamba iko hivyo toka mababu zako lakini ukifanya uchunguzi unakuta hicho kitu kilitokea sehemu nyengine kabisa, kwahiyo unaweza kuona wenyewe mna utamaduni fulani na kuona ni jambo la asili ila kumbe huo utamaduni ulitokana na uingiliano na jamii fulani huko zamani na mababu zetu wamekuta hivyo hivyo.

Sasa unakuta wengi tunajua historia za hizi imani tunazoita za kiarabu na kizungu tunajua zimeanza vp na wapi ila hatujui hizi tunazoita dini zetu za asili zilianza vp na wapi.
 
Nitakujibu hivi,Ingawa sijajua Elimu yako ya Dini iko vipi,Mungu alimuumba mwanadamu kwa ajili ya lengo moja tu,kumuabudu,hiyo ndiyo tofauti kati ya Wanadamu na Wanyama. Sasa wewe mleta maada ni wajibu wako kumuabudi
Linapokuja swali la dini zililetwa na waarabu sijui wazungu,iko hivi naamini utakuwa na elimu ya darasani.Tunaposema zamani jamii haikuwa imesambaa kama unavyoona leo watu walikuwa wanakaa sehemu moja au eneo moja tuseme ambalo linajumuisha Shamu,palestina mpaka Misri hiyo ni miji ya zamani sana ukisoma historia za Dini. Pindi mwanadamu anapomkosea Mwenyezi Mungu kwa kumkubusha amekuwa akiwaletea mitume,nazani hoja yako hapo ndipo inapoanzia
Wale wazazi wetu walikuwa wanaabudi kisichokuwa Mwenyezi Mungu kabla ya kuwafikia Mitume hawana dhambi kwani hawakulijua hilo,
Lakini wewe mwenzangu ambeya Dini ipo mlangoni kwako lakini bado unaulizwa swali kama hilo usipomfuata Mwenyezi Mungu kifo kikakukuta basi wewe ni moja kwa moja motoni.
Kuhusu Dini Mwenyezi Mungu ana dini moja tu,hata mitume wake hawakutofautiana bali aliyekuja alianzia pale aipoishia Mwingine. Mfano Ibrahimu hakusema Nuhu hafai wala Yesu hakusema Musa hafaina hata Mtume Muhammad hakusema Yesu hafai. Sasa Dini ya kweli ni ile amabyo haibagui mitume wa Mwenyezi Mungu ambayo ni Uisilamu
Kwani ukrito unabagua mitume?,,
 
Ukristo haumtambui Mtume Muhammad kama Mtume wa Mwenyezi Mungu. Mitume ni kiunganishi kati ya Mungu na wanadamu,na walikuwa wakitumwa pindi jamii inapokuwa imemuhasi Mwenyezi Mungu,na kila Mtume ana Umma wake yaani watu wake,na tutasubiri kuhukumiwa tukiwa nyuma ya Mitume wetu,mfano kuna kaumu ya NUHU na watu wake IBRAHIMU,MUSSA,YESU,sasa hii ni kaumu ya Mtume Muhammad (S.A.W)
 
Mimi dini yangu ya kiislam haijaletwa na Mzungu Wala Muarabu, Ni dini ya Mwenyezi Mungu, nimetambua Hilo baada ya kuisoma Quraan, yaliyomo humo hakuna binaadam anaeweza kuyaandika na kuyaweka humo.
Mmmweeh[emoji848][emoji849]
 
Quran imeandika kwamba, kuna watu ambao Allah kawaambia Waislamu hata wasishughulike nao hawa watu.

Kwa sababu hawa Allah mwenyewe kaifunga mioyo yao, kawaziba kwa pazia masikio na macho yao.

Na hawa watapata hukumu kali. Kwa kutomjua Allah.

Sasa Allah kawaziba macho na masikio, kafanya mioyo yao iwe migumu kumjua.

Halafu atawahukumu kwa kutomjua?

Huu ndio ujinga Waislamu wanaouamini kwamba ni maneno ya Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote kutoka kwenye Quran.

Na Biblia nayo ina mistari kama hiyo mingi tu

Al-Baqarah 2-6

Sahih International
Indeed, those who disbelieve - it is all the same for them whether you warn them or do not warn them - they will not believe.

Al-Baqarah 2-7
Sahih International
Allah has set a seal upon their hearts and upon their hearing, and over their vision is a veil. And for them is a great punishment.
Na kila siku hawa hujihesabia haki, hujiona wao pekee ndio sahihi na wanao stahili. Wakisoma mistari mitatu the so called ayý'a wanakuambia Mungu ndio aliyepanga yote.

Yes Mungu amepanga nisiwe na dini, na nilijivua utumwa nikiwa na miaka 12. Nadhani ni wakati wa watu kutumia akili zao bila kushikiwa na wengine pia ni wakati sasa wakuondoa hofu kuweza kuyatafakari maisha.
 
Najiuliza kwanini ujibu hoja yangu ? Umedai kwamba hizi hadithi na ngano. Ngano tunazijua na hadithi kadhalika.

Nimejibu hoja ila unakimbia maswali yangu. Kuhusu Kiranga sijatoka nje ya mada sababu swali hili huwa wanauliza sana lakini huwa hawana ithibati.

Andiko lenye tamko "enyi" lina ungano gani ?
Enyi! Ni twisting za maneno kuhadaa watu ndio maana watunzi wana-complicate lugha. Inavutwa attention unaenda kukumbana na ajabu.

Bw. Jurjani sifungamani na dini na hili ni andiko langu la MWISHO kuhusu masuala ya kinafiki, vitisho, fıkra zilizofungwa, kuabudu mizimu ya watu, umaskini na utumwa huu.

Mungu yupo.
 
Ninachoamini kwangu kina umuhimu kwani kinanisaidia kisaikolojia . Binadamu yoyote hata kama ni atheist ni lazima awe na anachoamini . Mf. Wakati wa ajali ule mstuko kuna unachotaja moyoni, unachotaja ndio Imani yako.
 
Back
Top Bottom