bc itabidi nimuhepe nirudi zangu tz.(roshio"
ni pm bc unionyeshe.
Dah!!!! Hujanielewa, nilimaanisha kimdudu kile kinachonyonya damu ngombe(kupe)
Hiki kimdudu ni king'ang'anizi sana, ndio maana nikauliza, ni kupe??? Nilimaanisha niving'ang'anizi???
HahahahahahDah!!!! Hujanielewa, nilimaanisha kimdudu kile kinachonyonya damu ngombe(kupe)
Hiki kimdudu ni king'ang'anizi sana, ndio maana nikauliza, ni kupe??? Nilimaanisha niving'ang'anizi???
Stereotypical, much!Wanawake wa kikenya watata kaka, hawafai wale. Hupiga waume zao wale, kaa nao mbali
punguza utumwa wewe,kwa nini usiishi Kikenya,tukiwaambia Wakenywa ni washamba mnakataa.Hapa umedhihirisha ulimbukeni wenuCELEBRITY, do you even know what being a celebrity means? U mwongo wewe! Watanzania wengi humu wanafanya kazi ya ndani ya nyumba. Simply sababu hawa vitambulisho, hawajui kusoma, 3000 za Kikenya kwao ni hela nyingi sana. Unafanya kazi wapi nije nihakikishe! And for your information, hatupendi kiswahili, tunaishi kizungu!
Kweli mkuu kuna jamaa yangu wa Kigogo..kabila kaoa kikuyu laaaa jamaa hasemi lolote kwa mke, mke anarudi mda autakao, akimuuliza tu analo, hawa ni shida sanaWanawake wa kikenya watata kaka, hawafai wale. Hupiga waume zao wale, kaa nao mbali
Pengo we mdingi[emoji23] [emoji23] [emoji23]mm bwana nawashangaa wanawke wa kny wanavotawaza na tishu,ukiwauliza wanasema hawawezi shika vima wala mjoko ..wanakanu viyaba.
Uka oou ukite.punguza utumwa wewe,kwa nini usiishi Kikenya,tukiwaambia Wakenywa ni washamba mnakataa.Hapa umedhihirisha ulimbukeni wenu
We samata tafadhali rekebisha hichi kiswahili chako bana.Hahaha inakaa Falcon anamanga hao wa coasto mbaya, atumie condiko. Lakini unacheki vile hawa wadhii wanapenda ku generalize? yani mtu ana hate coz manzi anatumia TP, how petty can one get? wakam tu mtaani, hapo Moi Ave, waangalie madame alafu wacomment, hawa ma mwere ata sijui kama kuna manzi mjanja wa Kenya anaweza wanoki.