Kumuacha demu wa kikenya ni shughuli

Kumuacha demu wa kikenya ni shughuli

Kuishi kwangu kote kenya hizo sifa mnawasingizia ,kama suala la kupiga hata bongo wanaume wanapigwa,sema tuu wanawake wa kenya wanapenda kuishi lifestyle ya kimagharibi tofauti na wale wa tanzania wanapenda kuishi third world lifestyle,kingine sio watu wa kuabudu waganga kabisa kingine when it comes about sex they are so freaking on bed,wakuamua kukupa anakupa yote ..tatizo lao llao hadi wanaume wabongo wawaponde ni vile wanavyoishi maisha ya kimagharib .akikupenda anakutamkia waziwazi kitu ambacho bongo hakitakaa kitokee
Mimi kenya naishi kama celebrity simply because ya lafudhi yangu na venye wakijua mi ni mtz ndio wanakutongoza hadi kero

Kwahiyo mkuu falcon mombasa siku hizi unawasifia watoto wa kenya? Mimi niliwahi kumpata mmoja,yaani kitandani ni ZERO kabisa,alikuwa hajui chochote zaidi ya kusema Songesha...Songesha, mara nikimgeuza anasema kaii juu si hatufanangi hivyoo. Kwakweli nilimchoka. Bado Kiuno kigumu pia.
 
Last edited by a moderator:
Kuishi kwangu kote kenya hizo sifa mnawasingizia ,kama suala la kupiga hata bongo wanaume wanapigwa,sema tuu wanawake wa kenya wanapenda kuishi lifestyle ya kimagharibi tofauti na wale wa tanzania wanapenda kuishi third world lifestyle,kingine sio watu wa kuabudu waganga kabisa kingine when it comes about sex they are so freaking on bed,wakuamua kukupa anakupa yote ..tatizo lao llao hadi wanaume wabongo wawaponde ni vile wanavyoishi maisha ya kimagharib .akikupenda anakutamkia waziwazi kitu ambacho bongo hakitakaa kitokee
Mimi kenya naishi kama celebrity simply because ya lafudhi yangu na venye wakijua mi ni mtz ndio wanakutongoza hadi kero

CELEBRITY, do you even know what being a celebrity means? U mwongo wewe! Watanzania wengi humu wanafanya kazi ya ndani ya nyumba. Simply sababu hawa vitambulisho, hawajui kusoma, 3000 za Kikenya kwao ni hela nyingi sana. Unafanya kazi wapi nije nihakikishe! And for your information, hatupendi kiswahili, tunaishi kizungu!
 
hahahha tena ackimbie huyu aje ajibu hapa
 
aisee nimeoa "aterere"/kikuyu ya nyeri ni shida kupewa papuchi mpaka apende yy.
 
Nyeri ni sehemu kubwa, sema ni wapi? Mwanzo Nyeri iko county gani? Don't lie jst for the sake of trending! Nafikiri umesoma magazeti huna facts. Nimekuuliza swali, unafanya kazi sehemu gani ya Mombasa?
 
All nyeri woman,wanatesa waumezao/wanawakeketa jogoo zao.
 
mm nafanya kazi moi avenue,ukuinitafuta hapo town kati utanibamba!
 
Moi avenue haiko kati ya town. Kenyatta Avenue na Digo road ndizo ziko kati ya town. Nway, Moi avenue ni kutoka roundabout ya Fontanela hadi flyover ya Mtongwe. Sema wapi exactly. Bado hujanibu mke wako ni NYERI wapi?
 
ha ha ha ha ha,mbona mchumba angu Akinyi hana matatizo kabisa....?
 
sasa unanifundisha mji?wewe nipe ushauri nimteme vp huyu mnyeri.
 
Mwanzo hakuna kabila ya kinyeri! Ok, the only way ni kuhama mji. Remember, WANYERI(wakikuyu) ni kama Wachagga wa TZ. Wao ni GO-GETTERS.
 
Back
Top Bottom