Aliekataliwa na wengine!!!
Mwenye moja ya vigezo vifuatavyo atapewa kipaumbele zaidi...
1. Kibamia chini ya inchi 4
2. Naniliu haisimami
3. Hana naniliu kabisa
4. Domo zege

Aisee, uko sahihi hapa. Ujue mara zote ninayemtaka huwa siwezi kumwambia!
Yawezekana wewe siye ndo maana nimetoa zege domoni mwangu halafu wewe ukawa wa kwanza kunikatalia. Ooooh, my God! Nimeshakuwa reject hapa. Anyways, I'm not alone and many more are yet to come.
Hakuna kutongozana kati ya mwalimu na mwanafunzi... Chanzo na sababu kubwa ni mazoea yaliyopitiliza na ukaribu wa ki-hasara hasara, na utani unaoashiria matamanio, ndiyo hushawishi hayo yote...
Hakuna kutongozana kati ya mwalimu na mwanafunzi... Chanzo na sababu kubwa ni mazoea yaliyopitiliza na ukaribu wa ki-hasara hasara, na utani unaoashiria matamanio, ndiyo hushawishi hayo yote...
Mkuu pole Lakini huyo mwalimu alichukua uamuzi sahihi.
Kipindi fulani mke wangu alikuwa mkufunzi kwenye chuo fulani. Mwanachuo wa mwaka wa pili akamwandikia barua kumtongoza!Mke aliponionyesha nikakasirika kweli.Nikamshauri atoe taarifa kwenye uongozi wa chuo.Yule mwanachuo alifukuzwa huku amebakiza Sikh chache kuingia kwenye mtihani wa mwisho.Alikuwa ameshafanya graduation.
Umekosea mkuu,sijawahi na nilishapita umri wa kuwa mikononi kwa walimu.Its just that naona kama ni kupungukiwa maadili kulikopitiliza kumtongoza/kufanya mapenzi na mwalimu kama baadhi wanavyojisema humu.
Nilipokuwa nafanya mtihani wa hesabu "maths" form four ilitokea kumpenda sana msimamizi wa kike kiasi formula zote zilipotea kichwani alipokuja kuuliza kulikoni! Nilimjibu samahani nimekumind sana akasema usijali wewe maliza kwanza mtihani, formula zilishuka na niliata A